Habibty, habibty, wauba wangu wa ubani eh Raha za ndani wewe umefunzwa na nani eh? Mtoto mashaallah, mtoto ma habuba Mtoto Bilal, Islat, Naifat woyo oh oh Yako majina yanantatiza bwana Kila kukicha afadhali lile la jana Habibty oh-oh, habibty wewe Wangu mimi kwako wewe kudunda dunda kwako Kudunda dunda nami Habibty mashaallah, umezaliwa Tanga kisiwani Napenda zile dimpose, napenda zile njozi zako za usiku Aah aah Baby, bilinge bayoyo (bilinge bwa) Bilinge bayoyo (bilinge bwa) Baby, bilinge bayoyo (bilinge bwa) Cheza na mimi (bilinge bwa, bilinge bwa, bilinge bwa) Baby, bilinge bayoyo (bilinge bwa) Bilinge bayoyo (bilinge bwa) Baby, bilinge bayoyo (bilinge bwa) Cheza na mimi (bilinge bwa, bilinge bwa, bilinge bwa) Nafuraha tele kuwa na wewe Siwezi kukukata kwenye maisha, furaha yangu Nyota yangu, kizimwe changu, nyumba yangu Habibty wee, iih Ni wengi wenye mapenzi Nishasemwa sana juu yako kwa vile mi unanienzi Mapenzi real real real, na kukuacha mimi siwezi Hiyo ni ndoto ya mapenzi, kwangu wa pekee Napenda zile dimpose, napenda zile njozi zako za usiku Aah aah Baby, bilinge bayoyo (bilinge bwa) Bilinge bayoyo (bilinge bwa) Baby, bilinge bayoyo (bilinge bwa) Cheza na mimi (bilinge bwa, bilinge bwa, bilinge bwa) Baby, bilinge bayoyo (bilinge bwa) Bilinge bayoyo (bilinge bwa) Baby, bilinge bayoyo (bilinge bwa) Cheza na mimi (bilinge bwa, bilinge bwa, bilinge bwa) Alekufunza habibty mahaba tusije saliti Mungu wa raha na dhiki (mahaba) habibty bilinge yo Alekufunza Habibty mahaba tusije saliti Mungu wa raha na dhiki habibty bilingeba Habibty yoyo oh oh oh Habibty wewe mamaa Habibty yeeeh, njoo!