Kwanza ukimtazama, anaenda na mambo uliyoyaskia Moja mzuri sana, na pili yeye anavutia Kiumbo, yeye anavutia, kisura inshallah mola kamjalia Ana mwendo wa kimiss, mi napenda anavyotembea Hata kama wakimdiss mimi bado namfukuzia Daily, kazi yenu nyinyi kumpakazia Daily, sijui lini nyinyi mtampotezea Daily, kazi yenu nyinyi kumpakazia Daily, sijui lini nyinyi mtampotezea Kakudanganya wa Oysterbay wakati anakaa Manzese Halafu we mwenyewe una furaha Usimwamini, kumpa moyo ye usije kulia Usimwamini, kumpa moyo we utaja niambia Yuko juu kwa njia za panya, ni mengi aliyoyafanya Oh we angalia Yuko juu kwa njia za panya, ni mengi aliyoyafanya Aii we angalia Ye ni bingwa wa viduku, kwenye vigodoro aisee Hana maana huyu demu Ye ni bingwa wa viduku, kwenye vigodoro aisee Hana maana huyu demu Huyoo (nasema huyo so demu) Huyoo (nasema huyo so demu) Huyoo (nasema huyo so demu) Huyoo (nasema huyo so demu) Aah (nasema huyo so demu) Mmhh (nasema huyo so demu) Aah (nasema huyo so demu) Uuh (nasema huyo so demu) I know, siwezi laumu moyo kumpenda yule Alisema mtoto mdogo na bado ye yuko shule Jamani mi, nampendampenda yeye Jamani mi, namtakataka yeye Jamani mi, nampendampenda yeye Jamani mi, namtakataka yeye Ingawa walisema, bingwa wa viduku Na wengine wakanena, bingwa wa vigodoro Ingawa walisema, bingwa wa viduku Na wengine wakanena, bingwa wa vigodoro Si lengo langu kukupiku no Nasema kweli huyu demu soo Usijipe moyo, utakoshwa roho Yule so demu wa kusizi nae ma-home no Nakupenda sana mchizi wangu ndo maana nakuambiaa Usije iona hii dunia ni chungu, moyoni utaumia Nakupenda sana mchizi wangu ndo maana nakuambiaa Usije iona hii dunia ni chungu, moyoni utaumia Huyoo (nasema huyo so demu) Huyoo (nasema huyo so demu) Huyoo (nasema huyo so demu) Huyoo (nasema huyo so demu) Aah (nasema huyo so demu) Mmhh (nasema huyo so demu) Aah (nasema huyo so demu) Uuh (nasema huyo so demu) Huyo huyoo, ooh eiieeh Huyo huyoo Huyo so demu, mi mwenyewe namjua Hajui kukataa wanasema kaumia Hana mapenzi ya kweli anachojali ye shillingi Kudadadeki mapenzi hayashughuliki Kama kweli unampenda we mpende tu maradufu Ila huku kitaa wanamgonga hata kwa buku Huyo sio demu (huyo huyo), demu wa kitaaa Huyo sio demu (huyo huyo), demu wa masela Aah (nasema huyo so demu) Mmhh (nasema huyo so demu) Aah (nasema huyo so demu) Uuh (nasema huyo so demu) (Huyo huyo) Tafuta mwingine, ila kama unampenda komaaa nae Ila kubembeleza sio kukuambia ku give up, so tell em bro Love is a beautiful thing, but sometimes love is crazy man Hahaha