Nilimkuta kajiinamia Kajiinamia aah Wowowo wowowo wowoo Nilimkuta kajiinamia Nikamuuliza nini tatizo? Yeye kanijibu Moyo, moyo Matatizo kadhaa wa kadhaa Yanamtesa yeye Ingawa bado yeye kijana Anaumia yeye Alipenda, katengwa kaumizwa Hali iliyofichwa na mapenzi Aliyempenda kamtenda kamdanganya Akirudi kalewa lewa lewa Suffer nake toti killer Ndoto zake binti zimeharibikiwa Anajuta juta, alimuumiza roho Alimuumiza sana sana sana Niliumizwaa sana Nilimkuta kajiinamia sana Nilimkuta kajiinamia, kajiinamia Ile michezo ya kuserebuka Kuchangamka Kupata kwa waganga Tena jitume Mtoto wa kike zoa zoa Asizoe litana Sisi kwa leo Twajijua sisi Twajijua wenyewe Twapenda mtelezo Soap soap soap Umali ooh Twapenda mtelezo Soap soap soap Umali ooh Yangu ni hayo Kwako Usiseme ukaniona Nasema sana Kwanza stop niheshimu mi And bby stop kama brother And stop kuna HIV Single for real eeh Kama upendavyo jiheshimu Iheshimu mali ya ardhi Kwani wengi Wanapenda kuniona wakiniongea Kwani wengi Hawapendi wewe unaponiongea Kwa maana, kwa maana Bby Umeniumiza sana sana Bby Umeniumiza sana sana Nilimkuta kajiimnamia sana Nilimkuta kajiimnamia, kajiinamia Akadekewa vuma, vum vum vum vum Watafuta kupenda Chunga sana mapenzi Yasikutoe kidonda Tena chunga sana wapenzi Usipende usipopendwa Always, nije nipate furaha Sisi kwa leo Twajijua sisi Twajijua wenyewe Twapenda mtelezo Soap soap soap Umali ooh Twapenda mtelezo Soap soap soap Umali ooh Sisi twapenda, umali ooh Twapenda umali ooh