Napiga simu hupokei, basi shika uniambie Meseji zangu hujibu, au ni dharau baba we Kama hunitaki, kama hunitaki si uniambie Kama hunitaki, baba si uniambie Basi niambie Nikupe shilingi ngapi, ili kwako nipande thamani Au nikuchote nyayo kwa mganga nikupeleke Nikupe shilingi ngapi, ili kwako nipande thamani Au nikuchote nyayo kwa mganga nikupeleke Hasara, penzi letu hasara hesabu hazisomi Kwa papara, jiwe nililolirusha leo limenieudia Hasara, penzi letu hasara hesabu hazisomi Kwa papara, jiwe nililolirusha leo limenieudia Mi ni nazi na we ndo mkunaji Abiria nipande bajaji Kunipa presha ya nini mpenzi basi utulie Mi ni nazi na we ndo mkunaji Abiria nipande bajaji Kunipa presha ya nini mpenzi basi utulie Kweli ng'ombe wa masikini hazai Najiona nisie na bahati Msingi nlodhani imara umesombwa na maji Nikupe shilingi ngapi, ili kwako nipande thamani Au nikuchote nyayo kwa mganga nikupeleke Nikupe shilingi ngapi, ili kwako nipande thamani Au nikuchote nyayo kwa mganga nikupeleke Hasara, penzi letu hasara hesabu hazisomi Kwa papara, jiwe nililolirusha leo limenieudia Hasara, penzi letu hasara hesabu hazisomi Kwa papara, jiwe nililolirusha leo limenieudia