Kwangu imekuwa kama ndoto au nyota Iliojaa upendo usio na kipimo Na umeniinua leo naitwa mama kijacho Naisubiri zawadi kutoka kwako Maombi yangu usiku na mchana Aje mtoto mwenye hekima na busara Mkarimu na mcheshi na asiwe hasara Mtoto ni baraka kutoka kwa Mungu Nitamlea kwa nguvu za Mungu Umenipa dhamani mbele za macho ya watu Acha niringe nitambe na nipige nduru Acha niringe, nitambe na nipige nduru Acha niringe, nitambe na nipige nduru Kwani mimi ni nani unichague niwe mama wa watoto wako Asante, kwa kukubali niwe wako Kwani mimi, ni nani? Unikubali niwe mama wa watoto wako Kwani mimi ni nani Unichague niwe baba wa watoto wako Asante, kwa kukubali niwe wako Kwani mimi, ni nani? Unikubali niwe baba wa watoto wako Umenitendea haki aliyonipa mama Umenionyesha upendo sijawahi ona Nayainua macho yangu juu Nikualikie mema kutoka kwa Mungu Tulipo ianza safari kunawaliopinga na kutukatisha tamaa Hukuvunjika moyo ata maisha yalipokwenda mrama Mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu Nitamlea kwa nguvu za Mungu Acha niringe, nitambe na nipige nduru Acha niringe, nitambe na nipige nduru Kwani mimi ni nani unichague niwe mama wa watoto wako Asante, kukubali niwe wako Kwani mimi ni nani? Unikubali niwe mama wa watoto wako Kwani mimi ni nani Unichague niwe baba wa watoto wako Asante, kwa kukubali niwe wako Kwani mimi, ni nani? Unikubali niwe baba wa watoto wako Kwani mimi, ni nani? Unikubali niwe mama wa watoto wako