Rudi Awena Rudi mpenzi Rudi Awena Rudi mpenzi Uuh uh uuh ouh Yeah yeah yeah Yeah yeah yeah Oooh ooh ooh Niliapa ukiondoka mpenzi Nitaondoka nawe (na wewe) Sikuahidi kukufuta machozi Bali nitalia nawe Ina maana hata ukiondoka mpenzi kunitazama Hutaki Awena Basi kama nina kosa kwako nililofanya Nieleze Awena Chozi langu la thamani Naliacha yangu keuee yeah Tulopanga zamani inamana si chochote en! Utamu wa mapenzi niinjoy mi nawe Kipenzi changu Awena Utamu wa mapenzi niinjoy mi nawe Rudisha moyo Awena Iweje penzi langu kwako unalikatisha Iweje eh (Iweje) Iweje penzi langu kwako unalikatisha Inamana tunda langu basi utamu umekwisha baby Labda ungesema mapema kuwa penzi langu ulihitaji Awena Kuliko kuondoka wakati moyo wangu bado unakuhitaji Awena Utamu wa mapenzi niinjoy mi nawe Kipenzi changu Awena Utamu wa mapenzi niinjoy mi nawe Rudisha moyo Awena Nahisi kuna mtu amekubadilisha mawazo Labda rafiki zako wasiopenda penzi langu Waeleze kitu ambacho ulihisi ungepata afadhali mpenzi (mpenzi) Utamu wa mapenzi ulonipa chumbani Huku kichwa chako umelaza kifuani Machozi yakutililika mashavuni Kwamba hutonacha mimi na hutotowekea duniani hii Ukanacha kipindi ambacho sitaraji mpenzi Moyo wangu bado unahitaji lako penzi Ukaniacha kipindi ambacho sitaraji mpenzi Moyo wangu bado unahitaji lako penzi Rudi awena (rudi mpenzi) Rudi mpenzi (rudi Awena) Rudi awena, rudi mpenzi Labda ungesema mapema kuwa penzi langu ulihitaji Awena Kuliko kuondoka wakati moyo wangu bado unakuhitaji Awena Utamu wa mapenzi niinjoy mi nawe Kipenzi changu Awena Utamu wa mapenzi niinjoy mi nawe Rudisha moyo Awena