Visha pete, mm Uh huh! Anivisha visha pete, anivisha pete Visha pete Anivisha visha pete, anivisha pete Visha pete Bolingo na ngai Nako pesa na mosusu te Bomoi na ngai Avant you cheri ezalaki pasi Kotika ngai te Zala wa ngai ti lilita Lelo tobalani Moto te ako kabola Wale wenye chuki Hawa jui tutokako Wata jua je Kule tuendako Kaa karibu nami Naku ahidi milele Penzi letu jana leo pia kesho oh Mpenzi kaa nami (kaa nami) Letu penzi (letu penzi) Tu enzi (njoo tu enzi) Wacha (waacha) Waseme (wacha waseme eh) Kwani usiku Wata lala Anivisha visha pete, anivisha pete Visha pete Anivisha visha pete, anivisha pete Visha pete (Nita ku visha pete) Siwezi sikiza ya watu Mapenzi unayo nipa ni ya kipekee (kipekee) Una ni bembeleza Una nifanya nahisi mimi mfalme Nani kama mi mataani hapa Watu wenye wivu (usi jali mambo yao) Kelele na vitisho (zina nileta karibu nawe) Roho yangu iki uma (napata hifathi kwako) Kwa hivyo mpenzi wangu Tembea sasa, tembea sasa uki ringa Mpenzi (mpenzi we) Kaa nami (kaa na mimi hapa) Letu penzi Tu enzi (mpenzi wee wee) Wacha (leta kidole) Waseme (pete) Kwani usiku (mpenzi wewe) Wata lala (nita kuvisha pete) Mpenzi Kaa nami (pete) Letu penzi (kaa nami) Tu enzi Wacha (leta kidole) Waseme (pete) Kwani usiku Wata lala (nita kuvisha pete) Anivisha visha pete, anivisha pete Visha pete Anivisha visha pete, anivisha pete Visha pete Kokende te Tikala pembeni na ngai Usiskize zao maneno Kwani wata tuharibia Visha pete Mpenzi Kaa nami Letu penzi Tu enzi Wacha Waseme Kwani usiku Wata lala Ufanye mabaya Ufanye mazuri Bado wata ongea ah! Kwani usiku wata lala