Aah (yeap) Aah, aah yeah Ooh, yeah Ooh, yeah aah Morning morning Young morning girl, ah zaliawa Ali billionaire wa malavi ooh, ooh Bila we kwa vile eeh, tutaishi na wewe Mimi love, mimi love Ooh nah, nah, nah, nah Ukiniacha we sheri wee Nitabaki na nani ooh Mi nitalia Lia aah Mi nitalia sana aah Nitalia Lia aah Nitalia sana aah Mi siwezani bila wewe Mbio ooh, ooh, mbio ooh, ooh, mbio Moyo unanienda, moyo unanienda Mbio ooh, ooh, mbio ooh, ooh, mbio Mi siwezani bila wewe Mbio ooh, ooh, mbio ooh, ooh, mbio Moyo unanienda, moyo unanienda Mbio ooh, ooh, mbio ooh, ooh, mbio Are we still dating? Mariela waky Ama ndio nimechokwa Ama umetekwa Nawaza nakufikiri Majibu sipatii Na moyo unachosha akili Kwa mapenzi ya ku fosi Kupenda pasipo dhamani Kwangu taabani sio sawa Ni bora unipe Moyo wangu niufiche Mi siwezani bila wewe Mbio ooh, ooh, mbio ooh, ooh, mbio Moyo unanienda, moyo unanienda Mbio ooh, ooh, mbio ooh, ooh, mbio Mi siwezani bila wewe Mbio ooh, ooh, mbio ooh, ooh, mbio Moyo unanienda, moyo unanienda Mbio ooh, ooh, mbio ooh, ooh, mbio