Ule ugonjwa ulioniacha nao
Bado sijapona
Hata mapenzi ulioniacha nayo
Yamebaki jina

Hospitali ooh
Za dunia nzima
Nimezunguka kote
Wamepima majibu hakuna

Hata ngoma sina (sina ooh)
Pressure sina (sina eeh)
Ugonjwa sina (sina)
Jina lako ninalo

Uwepo wako
Ndo ulikuwa wangu uzima
Naona giza
Giza totoro aai

Alioo iyoo
Nakumiss

Tena, tutonana
Tena, hata Mungu akipanga leo
Tena, nikufe kesho
Tena, tutaonana tena

Tena, ifike kesho uliamba
Tena, waniweke kwa mchanga
Tena, nikufe kesho
Tena, ali ooh

Labda nikukumbushe
Nilipokuvisha pete
Ulisema machache
Hauniachi mpaka nife

Maana ngoma sina (sina ooh)
Pressure sina (sina eeh)
Ugonjwa sina (sina)
Jina lako ninalo

Uwepo wako
Ndo ulikuwa wangu uzima
Mi naona giza
Giza totoro aai

Alioo iyoo
Nakumiss, iye iye

Tena, tutonana
Tena, hata Mungu akipanga leo
Tena, nikufe kesho
Tena, tutaonana tena

Tena, ifike kesho uliamba
Tena, waniweke kwa mchanga
Tena, nikufe kesho
Tena, ali ooh
    Página 1 / 1

    Letras y título
    Acordes y artista

    restablecer los ajustes
    OK