Ka ni kuimba buda boss we imba Na kama huezi imba wacha me niimbe Ka ni kuimba buda boss we imba Na kama huezi imba wacha me niimbe Boy child, boy child aki unaumia Boy child, boy child aki unalia Zile vitu we hupitia Ni mingi lakini don't stress we tulia Ju unajua mwanaume ni kuvumilia Kupambana na hali yake si kulia Mangori, mangori kushoto na kulia Don't worry don't worry, brathe hapana achilia Ju najua mwanaume ni kung'ang'Ana Hata huyo manzi mrembo muombe namba Haijalishi vile sura yako inakaanga Mwanaume katia dem mwenye unatakanga yeah They want a million dollar (yes) They want a million dollar, eh But me ni hustler They want a million dollar They want a million dollar, eh But me ni hustler They want a million dollar They want a million dollar, eh But me ni hustler They want a million dollar, eh Boychild ooh, yeah They want a million dollar Boychild, yeah, yeah yeah Hakuna yule dem anaweza akatuumiza roho Eeeh akaniumiza rohoo Boychild, yeah, yeah yeah Hakuna yule dem anaweza akatuumiza roho Eeeh akaniumiza rohoo Ah boychild (kataa) Boychild (kataa) Ma boychild (kataa) Boychild (kataa) Ah boychild (kataa) Boychild (kataa) Ma boychild (kataa) Boychild (kataa) Boychild cha muhimu ni uhai bro Kusumbuana na maslayqueen haifai jo Kujitisha uko na ukedi na hujapimwa bro Kujichocha we ni sponsor na hata hauna doh Boychild cha muhimu ni kung'ang'Ana Ju nataka kuishi maisha fiti sana But life yako tu imejaa malaana Kila kitu unafanyanga ina maswara Njoki, Njeri, Sherry kesho uko na Sara Naskia hadi umekunja mama Sara Unajenga doh lakini unaenda hasara Ukidunga kiatu kali ni ma Sahara They want a million dollar (yes) They want a million dollar, eh But me ni hustler They want a million dollar They want a million dollar, eh But me ni hustler They want a million dollar, eh Boychild ooh, yeah They want a million dollar Boychild, yeah, yeah yeah Hakuna yule dem anaweza akatuumiza roho Eeeh akaniumiza rohoo Boychild, yeah, yeah yeah Hakuna yule dem anaweza akatuumiza roho Eeeh akaniumiza rohoo Ah boychild (kataa) Boychild (kataa) Ma boychild (kataa) Boychild (kataa) Ah boychild (kataa) Boychild (kataa) Ma boychild (kataa) Boychild (kataa) Ka ni kuimba buda boss we imba Na kama huezi imba wacha me niimbe Ka ni kuimba buda boss we imba Na kama huezi imba wacha me niimbe They want a million dollar (yes) They want a million dollar, eh But me ni hustler