Mimi moyo watetema Hadi nashindwa kuhema Umenishika mie Umenishika pabaya Moyo unataka kusema Mdomo nao unanong'ona Umenifanya mie Umenifanya pabaya Bora wewe Mwenzako mie sijiwezi Umenipa nini? We Amber mie sijiwezi Baba nyonga vile unavyonyonga Mikatiko flani ya kitanga Polepole mwendo wa kinyonga Napania navunja kitanda Kama wanataka, walete Kushoto kulia, walete Mwajuma Mwanjala, walete Mmmmh walete Kama wanataka, walete Kushoto kulia, walete Kina Lokole Juma, walete Mmmmh walete Baibe, baibe We ni wangu sikuachi ng'o Baibe, baibe Leta bomba tulijaze ndoo Baibe, baibe We ni wangu sikuachi ndoo Baibe, baibe Mimi kwako nimefika ndoo Haya sugua gaga chekecha Haba na haba komesha Haya sugua baba pekecha Yale madanga komesha Baba nyonga vile unavyonyonga Mikatiko flani ya kitanga Polepole mwendo wa kinyonga Napania navunja kitanda Kama wanataka, walete Kushoto kulia, walete Mwajuma Mwanjala, walete Mmmmh walete Kama wanataka, walete Kushoto kulia, walete Kina Lokole Juma, walete Mmmmh walete (Driss) Fanya kama unamwaga Fanya kama una- Fanya kama unachekecha Aya beiby beibe ifinye hiyo (finya) Aya beiby beibe izime hiyo (zima) Aya beiby beibe ifinye hiyo (finya) Aya beiby beibe izime hiyo (zima)