Na, na, na, na, na, na, na Wapi unawaumizaga Niambie tuwakomeshe Tuwakomeshe vishadai Wavimbe wateseke We nipende tu Nipe na nyota nitembelee Wachawi viga kura Beiby tushikane tuwakemee We ni doctor mi mgonjwa Ndo maana nikikuona mwenzako ninapona Umenijaa akilini Ndo maana nakutaja mwenzako kila ngoma Beiby, tuifiche hiyo siri Tusionyeshe dhahiri Huwanga wanasubiri Waone utavyonimwaga Wa mbili awe mbili Wa kwanza tuwe wa kweli Ah natakata takataa Natakata na penzi lako Na nitadata nitadata Ukininyima hicho ulichokuwa nacho Naridhika ridhika Naridhika na huba lako Nakuahidi nitakufa Nikija kulikosa hilo penzi lako Bembea, mahabuba bembea ooh Bembea, nakuruhusu ning'inia Kwenye moyo wangu Bembea, lazizi bembea ooh Bembea, mwenzako nasikia raha sana Nasi tunazima data Simu zao tunakata Tudanane kama mapacha Wawili wawili, wawili twende mbele Ulivyo mtamu ratili Sukari usiongezee Ujuzi unao, uzuri unao nashiba Mahaba ilegezee eeh Ah ukinigusa nasisimua Jaa jaa bigwa wako sasambua Umeniweza mtoto wa kishua Shida zangu zote unatatua Ndo maana nakupenda Palipo ufa tujenge Usisikize wapambe wee We nipende nikupende Na ndio maana nakupenda Tuifiche hiyo siri Tusionyeshe dhahiri Huwanga wanasubiri Waone utavyonimwaga Wa mbili awe mbili Wa kwanza tuwe wa kweli Wambeya wanasubiri wapate Cha kusemaga Bembea, bembea unawamaliza Bembea, wakose cha kusemaga Hakuna kutafuna Bembea, bembea unawamaliza Bembea, wakose cha kusemaga Hakuna kutafuna