It’s another one Mwaah! Mwaah! Mwaah! Baby me na we nganganga Usije ukaenda kwa mganga DJ embu piga charanga tuchezee Wanauliza maswali Tuwajibu kwa vitendo Waambie ee wajue Me kwako nishatia nangaaa Fumba macho usije danga, utaniumiza roho Nikila korosho kula karanga, tuzimeze ooh Usiniache nitatanga tanga, Yatima ooh Unionyeshe aliyekufunza nyakanga, kitandani njoo Nimeona wengi sana Wazuri sana Ila kwako nimekwama Sijateleza kukuchagua Nichochee, nichochee Kama moto unichochee Kwatu Roho yangu kwatu Kuwa na wewe Kwatu kwatu kwatu Roho yangu kwatu Roho yangu kwatu Kuwa na wewe Kwatu kwatu kwatu Roho yangu Ukiwa mbali mwili wote unapooza Nahisi kama nimekufa na tayari nishaoza Chai sukari, mupenzi hebu koleza Usije ukakurupuka ukaja niacha kwa jeneza Familia yangu iko polisi inakutafuta wewe Nasikia unabonge la kesi lakuniteka mie Ooh lololololo ooh La kuniteka mie eeh eeh Aah aahh Wambie wajue Mi kwako nishatia nangaa Nimeona wengi sana Wazuri sana Ila kwako nimekwama Sijateleza kukuchagua Nichochee, nichochee Kama moto unichochee Vunja mifupa kama meno ipoo Kwatu Roho yangu kwatuu Kua na wewe Kwatu kwatu kwatu Roho yangu kwatu Roho yangu kwatu Kua na wewe (nakupenda nakupenda) Kwatu kwatu kwatu Roho yangu Nikishika kiuno, unishika mabega (ayayaa) Utakapo nigusa kokote mwenzako nalegea (ayayaaa) Baby humo humo uliponishikia (ayaya) Uking'olewa meno mwenzako navimba mdomo pia (ayayayaya) Wambie wajue mi kwako nishatia nanga