Niacheni niseme nitambe Mwenyewe na moyo wangu Ooh, ooh lala lala Ooh, ooh lala lala Moyo wangu unataka Unataka unavyotaka Unataka unavyotaka Ila chunga usije leta maafa Moyo wangu jeuri Moyo wangu kiburi Unataka unavyotaka Ila chunga usije leta maafa Unachagua pa kutua Pa kuchutama pa kukaa Pa kusimama pa kutembea Pa kukimbia moyo Moyo wangu kichefuchefu Moyo umegoma vitu vichafu Moyo unataka vitu nadhifu Vya kuridhisha mwili Moyo hauna shombo Moyo bingwa wa nyodo Moyo hutaki shobo Shobo shobo shoboo Moyo wangu jeuri Moyo wangu kiburi Aah jeuri moyo wangu kiburi Aah jeuri moyo wangu kiburi Ukileta dharau Moyo unakusahau (moyo) Ukijiona mzuri Moyo unaleta jeuri (moyo) Moyo nakupa cheo We ndo mmliki wa hisia zangu Yaani kama mti We ni shina langu (shina langu ooh) Wapo walotaka kushindana Na moyo wangu wakafeli Tena walisubiri kupigana Na moyo wangu wako chali Moyo wangu jeuri Moyo wangu kiburi Aah jeuri moyo wangu kiburi Aah jeuri moyo wangu kiburi