Aliniyenga yenga Na vishanga shanga Vya ki Tanga Tanga Nikajiona mjanja Kumbe ni mjinga Alinipiga chenga Aliniita mume Na ndoa sijafunga naye Kumbe aliunga tume Ili wabebe zangu mali eeh Yaani, yule gume gume Nitaanzaje kukaa naye Eeh, alinishindwa mtume Nitaanzaje kuishi naye Bilau yake viungo (aah aah) Bibiye usiniache (aah aah) Bilau yake viumbo (aah aah) Kichungi usiniache (aah aah) Nani anibembeleze eeh? Anibembeleze eeh Nani anibembeleze eeh? Anibembeleze eeh Nani anibembeleze eeh? Anibembeleze eeh Nani anibembeleze eeh? Anibembeleze eeh Kupenda maradhi Mwenzio siwezi Kupenda dhihaka Mwenzio siwezi Nilipanda mwembe Nikategemea nitavuna madodo Yaani kupenda nipende Mwisho wa siku nikavaaga nyodo Zari sio Wema Umeniacha dillema Zari sio Wema Umeniacha dillema Aah, asali wa moyo wangu Barafu wa moyo wangu Aah, asali wa moyo wangu Barafu wa moyo wangu Mi nilimuita mpenzi Yeye aliniita mbuzi Nikawa ku macho mchuzi Mawani yalokosa lensi Bilau yake viungo (aah aah) Bibiye usiniache (aah aah) Bilau yake viumbo (aah aah) Kichungi usiniache (aah aah) Nani anibembeleze eeh? Anibembeleze eeh Nani anibembeleze eeh? Anibembeleze eeh Nani anibembeleze eeh? Anibembeleze eeh Nani anibembeleze eeh? Anibembeleze eeh