Wife wee, wife material Kipenda roho Chekecha, weka kwa chujio Maneno yao Waambie umeshikwa umedata na mimi ooh Mtoto show Uwavunje mifupa tuwakate vilimi ooh Waumie roho Nitakonda ahaa Ukiniacha mbele za watu ahaa Shoka ahaa Usifiche mapenzi chini ya kiatu ahaa Usipunguze ongeza Paka vuna teleza We pekee unnaniweza Niongeze mchuzi wa pweza, ninywee Baby ooh baby, baby ooh baby Ubavu wangu wa pembeni Chokochoko, laka laka chokochoko Kidume mashine Chokochoko, laka laka chokochoko Matam tam tam Chokochoko, na sihongi mpaka boko Maruani au masumbi hunny Yakikupandaga kichwani Vurugu tupu kitandani Ooh gaga Mtoto show, rangi ya jogoo Mi ndo shiza kichura kwenye mechi Tukikutana lazima nishinde goal Mmmh nakupenda ukipitisha ulimi kwenye masikio Ukinipapasa kifuani nakupa vyeo Napo chumba tukicheza kwa pwaru we ni kilio Ukinipa macho vinatokaga vinyweleo, mwilini Nitakonda ahaa Ukiniacha mbele za watu ahaa Shoka ahaa Usifiche mapenzi chini ya kiatu ahaa Usipunguze ongeza Paka vuna teleza We pekee unnaniweza Niongeze mchuzi wa pweza, ninywee Baby ooh baby, baby ooh baby Ubavu wangu wa pembeni Chokochoko, laka laka chokochoko Kidume mashine Chokochoko, laka laka chokochoko Matam tam tam Chokochoko, na sihongi mpaka boko Only you, baby only you Utafanya nikuroge nishike kipalizi Only you, baby only you Utafanya nikuroge nishike kipalizi