Wanasema pole pole ndio mwendo Eti haraka haina baraka Kweli tisa karibu na kumi Methali zote haizinisaidi mi 'Naonekana wakati huu Umeniwacha kwa kweli boo Wanipenda najua tu Na imani hatuna kwetu Lakini kwa sasa, mi nakuwaza Nifanye nini urudi kwangu? If I told you I loved you, would you love me bae? And if I told you I missed you, would you call me? Ukini (ooh), ukini (aah), ukinipenda we Hakuna mwingine kama we Hakuna mwingine kama we Wou wou (hakuna, hakuna) Wou wou (hakuna, hakuna) Kwenye vita kuna mshindi Kwa mapenzi ni nani mshindwa? Kikulacho ki nguoni mwako Lakini kwetu ni nani adui Nakupenda wajua tu Usamehe makosa yangu 'Kifanya hivo mpenzi boo Amani itarudi kwetu Nami niko hapa nitakungoja Rudi nyumbani lazizi wangu If I told you I loved you, would you love me bae? And if I told you I missed you, would you call me? Ukini (ooh), ukini (aah), ukinipenda we Hakuna mwingine kama we Hakuna mwingine kama we Khaligraph Jones You're the one I ask for, hakuna mwingine nataka I prayed for a blessing, then niwe nikapata So now I promise to be, all that you wanted of me Girl you're my queen and it's only right I give you all that you need How you hold me si siri, I am always drifting away Umenipea upendo kamili, you're like my Bee and I am your J So better for worse I am dedicating this for us Just for you and to tell you that we pekee ndo natrust Na najua wengi watasema kwamba sifai Usiskize maneno coz hizo zote ni lies Girl I am yours and you are mine till the end of time We were meant to be so together so forever we rise Kweli mimi nakupenda, hakuna mwingine ataniokoa Kweli mimi nakupenda, hakuna mwingine ataniokoa Kweli mimi nakupenda, hakuna mwingine ataniokoa Kweli mimi nakupenda, hakuna mwingine ataniokoa If I told you I loved you, would you love me bae? (If you did, I'd definitely do that for you, mami) And if I told you I missed you, would you call me? (If you did, I'd definitely do that for you, baby) Ukini (ooh), ukini (aah), ukinipenda we Hakuna mwingine kama we Hakuna mwingine Wou wou (hakuna, hakuna) Wou wou (hakuna, hakuna)