Matembezi sokoni, nalipita lango kubwa Duka kila kona, sakafu la vutia eeh Taa zaning'inia kutoka paani zamulika njia yangu Maua za kila aina aniahikilia mkono akisema, tembea nami Twatembea, twaongea Anionyesha uzuri wa dunia yake Twatembea, twaongea Sitosheki na hilo Natamani mbinguni Mbinguni eeh Anamu za tabasamu nami, zanitia moyo Muumba wao, mwenye dhambi kama mimi Amekwisha toweka, miaka zilizopita aah Duka baada ya duka eeh, nahisi utupu tele Kila kitu kizuri lakini hakinivutii Anishikilia mkono akisema, tembea nami Twatembea, twaongea Anionyesha uzuri wa dunia yake Twatembea, twaongea Sitosheki na hilo Natamani mbinguni So we walk, and we talk And he shows me the beauty of his world So we walk some more and we talk some more Now I know this is not enough So we walk, and we talk And he shows me the beauty of his world So we walk some more and we talk some more Sitosheki na hiyo Twatembea, twaongea Anionyesha uzuri wa dunia yake Twatembea, twaongea Sitosheki na hilo Natamani mbinguni