Tujihadhari beiby Ukijua umependwa wewe mpweke wewe Tumia nafasi beiby Ukijua umependwa nawe upende Kwa style hii Utamjuaje mpenzi anayekupenda wewe Tumia nafasi hii beiby Ujifunze kupendwa, utaishi mwenyewe Unapenda sana kununa Utaenda saa ngapi? Na nikirudi salamu hakuna Tunapendwa wangapi? Nakupenda wewe tu Mama mama eeh Mama mama eeh Mama mama eeh Nifanyie nafuu Mama mama eeh Mama mama eeh Mama mama eeh Kuna siku nilichelewa kuruta Hujui nilikuwa wapi, aah we sema Hujui nilikufanyia kusudi Ina maana dhamani yangu huioni Una shida nami kwani? Mbona sielewi mami Wakunieleza ni mi mami Nijue unawaza ni? Unapenda sana kununa Utaenda saa ngapi? Na nikirudi salamu hakuna Tunapendwa wangapi? Nakupenda wewe tu Mama mama eeh Mama mama eeh Mama mama eeh Nifanyie nafuu Mama mama eeh Mama mama eeh Mama mama eeh Mama naona naona Mapenzi maji ya moto yananichoma Mama mama (mama mama eeh) Roho inaniuma niuma Hata nisipofanya kosa wewe una nuna Mama mama (mama mama eeh)