Eeh niaje Deno Vipi Bahati tena? Kuna wakati nafika mwisho niambie bado Kuna wakati nawaza sipo niambie bado Kuna wakati nafika mwisho niambie bado Kuna wakati nawaza kifo niambie bado Nikumbushe bado, niambie bado Nikumbushe bado, mwanao bado Nimesoma degree na kazi bado (bado) Mke wangu anadanga umasikini chanzo (bado) Vibarua Eastleigh na kazi bado (bado) Nyuma nayo ya kupanga elimu zero (bado) Mama analia cancer matibabu bado Heri yule tajiri atatibiwa Ng'ambo Baba lini machozi yatafika mwisho Fanya hima ushuke tumefika mwisho Kuna wakati nafika mwisho niambie bado Kuna wakati nawaza sipo niambie bado Kuna wakati nafika mwisho niambie bado Kuna wakati nawaza kifo niambie bado Nikumbushe bado, niambie bado Nikumbushe bado, mwanao bado Mwanao nimemiss kucheka Vile vifunny funny vya wenzangu Natamani hata kuona Nijue sura ya mke wangu Pia mwezi na nyota nione Nikichunguza na kuvutia Alafu isitoshe Shida zimeniandama aah Kodi sijalipa (bado) Jirani anachoma nyama aah Angalau hata mboga (bado) Si ati kwamba nasahau Unaniwaziaga mema (bado) Ila mwisho nimefika Lakini nakutazamia (bado) Kuna wakati nafika mwisho niambie bado Kuna wakati nawaza sipo niambie bado Kuna wakati nafika mwisho niambie bado Kuna wakati nawaza kifo niambie bado Nikumbushe bado, niambie bado Nikumbushe bado, mwanao bado Mwanao nimemiss kucheka Vile vifunny funny vya wenzangu Natamani hata kuona Nijue sura ya mke wangu Mwanao nimemiss kucheka Vile vifunny funny vya wenzangu Natamani hata kupata baraka Nifanane na wenzangu Kuna wakati nafika mwisho niambie bado Kuna wakati nawaza sipo niambie bado Kuna wakati nafika mwisho niambie bado Kuna wakati nawaza kifo niambie bado Nikumbushe bado, niambie bado Nikumbushe bado, mwanao bado