Sakata Rhumba sakata (sakata) Wacha dumba sakata (sakata) Daudi alisakata (sakata) Ufalme wake akapata Sakata Rhumba sakata (sakata) Wacha dumba sakata (sakata) Daudi alisakata (sakata) Ufalme wake akapata Napiga selfie niposti nimeokoka Na nasakata hiyo Nina mapozi kijana nimeokoka Na nasakata hiyo Wanaobonga hawajui nilikotoka Na nasakata hiyo Ni miujiza nione nimeomoka Apewe sifa huyo Iwe ni gengetone raggatone Yangu ni gospel tone Gengetone raggatone Yangu ni gospel zone Sakata Rhumba sakata (sakata) Wacha dumba sakata (sakata) Daudi alisakata (sakata) Ufalme wake akapata Sakata Rhumba sakata (sakata) Wacha dumba sakata (sakata) Daudi alisakata (sakata) Ufalme wake akapata Iwe rhumba iwe raggae (sakata) Nakazana sitachoka (sakata) Kukupa sifa sitawacha Nitacheza mie (sakata) Kama baba ametenda (sakata) Kwani yeye ni Ebenezzer (sakata) January to December Sifa nimpatie (sakata) Sakata Rhumba sakata (sakata) Wacha dumba sakata (sakata) Daudi alisakata (sakata) Ufalme wake akapata Sakata Rhumba sakata (sakata) Wacha dumba sakata (sakata) Daudi alisakata (sakata) Ufalme wake akapata Iwe ni gengetone raggatone Yangu ni gospel tone Gengetone raggatone Yangu ni gospel zone Sakata rhumba sakata Wacha dumba sakata Dear Lord this is Bahati Doing a dance song For your Glory Sakata outta EMB Sakata Rhumba sakata (sakata) Wacha dumba sakata (sakata) Daudi alisakata (sakata) Ufalme wake akapata Sakata Rhumba sakata (sakata) Wacha dumba sakata (sakata) Daudi alisakata (sakata) Ufalme wake akapata