Mmh, EMB Records Odi wa Murang'a mmh Genge la Boondoksi Na Baha taniua mmh Masherehe (taniua) Hizi kiherehere (taniua) Dhambi zangu (taniua) Aki we utaniua aah Kesho ni zaidi ya today Mbona unakaa unauliza mbona? Mbona mawazo ya today Jana ulichana sasa ni hangover Kesho ni zaidi ya today Mbona unakaa unauliza mbona? Mbona mawazo ya today Jana ulichana sasa ni hangover Rieng priest naskia unaitwa Baha Ju si ni wazing utatuskia hatunaga baha Ju ka ni jing zimeshika mara kadhaa Labda niache mchuma nikaseti kwanza wada Labda niache pupa nikachome kwanza shada Labda niache chingri nisitupe kwanza rada Ama nikateke wale siz wa ibada Kuna matym natamani chana Aah eeh kuchana Temptation kiu ya thiang'a Aah eeh ya thiang'a Injili yangu inapingwa sana Aah eeh inapingwa sana Wakinicheki na Odi wa Murang'a Aah eeh Masherehe (taniua) Hizi kiherehere (taniua) Dhambi zangu (taniua) Aki we utaniua aah Kesho ni zaidi ya today Mbona unakaa unauliza mbona? Mbona mawazo ya today Jana ulichana sasa ni hangover Kesho ni zaidi ya today Mbona unakaa unauliza mbona? Mbona mawazo ya today Jana ulichana sasa ni hangover Walai walai, mashada fangi gani Kamande wa Kioi, tupa gospel hewani Mtoto wa mama before tuanze nina swali Kwa kesi ya mbinguni unaeza nitetea kweli? Mgenge ni mgenge for real (for real) Na njege ni njege for real Ka ushai backslide mi najua unanifeel Sijai toa tithe na mi hukuliwa na guilt Odi huku ni mapitio ooh Majaribio ooh Umetoka mbali tega sikio ooh Na leo tuko studio Masherehe (taniua) Hizi kiherehere (taniua) Dhambi zangu (taniua) Aki we utaniua aah Kesho ni zaidi ya today Mbona unakaa unauliza mbona? Mbona mawazo ya today Jana ulichana sasa ni hangover Kesho ni zaidi ya today Mbona unakaa unauliza mbona? Mbona mawazo ya today Jana ulichana sasa ni hangover Nilidai Holy water nikashika Jah Warasta wote ukweli wameumbwa na Sir Jah Holy communion mi huziletanga na jug Ex wangu husema eti labda umenidump Da, da labda uko done Ba, ba labda niko bar Ni kuthokia ju labda niko bank Illumi sema ati labda hii sasha bank Gun gun huskii nina gun Ju leo Mtua anauliza kama ataban Bang bang washa washa bang Bang turn washa washa burn Masherehe (taniua) Hizi kiherehere (taniua) Dhambi zangu (taniua) Aki we utaniua aah Kesho ni zaidi ya today Mbona unakaa unauliza mbona? Mbona mawazo ya today Jana ulichana sasa ni hangover Kesho ni zaidi ya today Mbona unakaa unauliza mbona? Mbona mawazo ya today Jana ulichana sasa ni hangover Tuna craving ya, neno la Bwana Bikra Maria tupe rehema Tuna craving ya, neno la Bwana Bikra Maria tupe rehema