Eeeh ayooo ahh nanana Usilie machozi ungali bado unapumua Usikufuru Mungu ungali hii sauti unasikia Wewe umepanga milioni yeye amepanga sufuri Wewe umepanga ghorofa Yeye amepanga kibanda Ulipanga ule nyama kesho kesho unakula dagaa Usikate tamaa bado una mudaa Shetani hakosi kushindwa Bado na muda Ayoo oo Mwenzako kalala mochwari hajitambui Hajui nani anapita Nani anamwita nani anaingia Wewe unaona na unashuhudia Bado una muda Aah eeh bado una muda Mwaka unakatika ulipanga ujenge ghorofa Mwaka unakatika ulipanga ununue verosa Alhamdulilahi umeambulia baiskeli Wakati mwenzako kavuna kwenye mwaka ukilema Si unapumua angali mzima Bado una muda Shetani alimjaribu Ayubu Kwa kumpanga majaribu Alimpaka upele mwili mzima Mke wa Ayubu akasema Ayubu ananuka Ayubu alishinda mitihani We je wewe, bado una muda Usilalame usitukane zidi kupambana Mungu anaona, muda wako waja atakugusa Ukikosa leo usikufuru Mungu The time has come Usilalame usitukane zidi kupambana Mungu anaona, muda wako waja atakugusa Ooh, ooh, ooh Mama nitilie unasema Mungu kakuonea Ewe beba Segel unasema Mungu kapendelea Wakati una mikono Kakubariki na macho na masikio Kuna mwingine hasikii kabisa Kuna mwingine hatembei kabisa Heri kutembea Kuna mwingine hashiki kabisa Wewe unapata nguvu kushika mikono Bado una muda Aah bado una muda Sauti hii kama unasikia Sikia timamu Sikia timamu na ufahamu Kama unatambua ninachozungumza Bado una muda, aah bado una muda Mungu ametenda mengi juu yangu (mmh) Kuna muda niliachwa na Baba na Mama Hadi mpaka na wife (na wife) Yeye hakunitupa (aah aah) Alininyenyua, akanitembeza Akanishika mkono Akanionyesha mahali sahihi Natabasamu nina muda Mwingine anaoa leo kesho anaacha Mwingine anaolewa leo kesho anaachwa Wewe umedumu kwenye ndoa furahi bado una muda Usiache kumuomba yeye bado una muda Wewe umeolewa jana leo umepigwa Wewe umeoa jana leo umesalitiwa Usilalame bado una muda In the name of Jesus Jesus bado una muda In the name of the Lord of the mass bado una muda In the name of God Messiah bado una muda In the name of Yudah wa Yudah Ananguruma you got time Usilalame usitukane zidi kupambana Mungu anaona, muda wako waja atakugusa Ukikosa leo usikufuru Mungu The time has come Usilalame usitukane zidi kupambana Mungu anaona, muda wako waja atakugusa Ooh, ooh, ooh Naimba kwa sababu yake yeye Bado una muda