Tosa la secret baby Jamais! Yoo zane valee baby Yoo zane valee papaa Treni langu la kutongoza limefunga breki Na kituo ndo wewe (ndo wewe kipenzi) Sina mengi mimi, sio mtoto wa mjini Nimefundwa jandoni kipenzi Hadithi hadithi uongo njoo Haya nieleze porojo, mi bado mdogo Hivi ni juzi ulikuja na maua (yes) Ulikuwa na barua ila sikuifungua, na na na (why) Ungesoma ndani (why), ungejua vingi (no) Vile moyo wangu ulivyojawa na vigingi Wewe una mume (nampenda), na mi n'na mke Twaweza iba bado wasishituke! (lo!) Kumbe muhuni Aku siwezi ku-share penzi nawe Kasoro yangu nini Si una mke, yule amekosa nini Oh uh yeah, oh uh oohh! Kwanza ningekuomba Kipenzi ukubali Tutafanya siri ya watu wawili Utaniponza kwa jambo hili Hamnaga siri ya watu wawili Kama ukikubali Nitakupa kagari Na visalary Utakuwa bonge la sistaduu Alinifunza mama Niogope wavulana Nikae mbali Nyie wabaya sana Kwetu nyumbani Tumekulia kwenye dini, mmh Penda wako nyumbani kwanza Kisha unipende mimi, mmh (Au uongo baba!) Aaa asante kwa muda wako Nimependa majibu yako Hivi nikuulize swali? (niulize nini?) Anavyotoka mumeo unajua mangapi anafanya? Ni muhuni (muongo) Niseme nini (muongo) Kila kitu (muongo) Maneno yenu hayakuvuna pendo Huna jipya (muongo) Useme nini (muongo) Maneno yako (muongo) Kibaya zaidi mke wako akijua Kumbe muhuni Aku siwezi ku-share penzi nawe Kasoro yangu nini Si una mke, yule amekosa nini (oh no) Oh yeah, ooh oohh! (ebo!) Ukikubali Nitakupa kagari Na visalary Utakuwa bonge la sistaduu Alinifunza mama Niogope wavulana Nikae mbali Nyie wabaya sana Kwanza ningekuomba Kipenzi ukubali Tutafanya siri ya watu wawili Utaniponza kwa jambo hili Hamnaga siri ya watu wawili Kama ukikubali Nitakupa kagari Na visalary Utakuwa bonge la sistaduu Aliniifunza mama Niogope wavulana Nikae mbali Nyie wabaya sana