Na spend muda na vavangaa Najinadii kumbe wenzangu wana rambaa (eboo) Kila kitu unatambaa Wajigamba wanionaa (dugagambaa) Nilipoteza mudaa, na ukaringaaa Ukaniona mjingaa Na umeharibu mipangoo Nini spend muda kuwa chinii Ili nikuwin umenitupaa ngamboo Kukupenda sababuu Moyo umeupa maumivuu Hata bila sababuu Moyo umeupa ghazabuu Kukupenda ndo sababuu wanipelekaa Kutakuta wanipelekaaa Kukupenda ndo wanipelekaaa Kutakuta wanipelekaaa eeh Tuachane mdogo mdogo Na me nikwache mdogo mdodo Ya nini marambanoo na zogoo Tuachane mdogo mdodo Tuachane mdogo mdogo na me Nikwache mdogo mdodo Ya nini marambanoo na zogoo Tuachane mdogo mdodo Nahisi nimeonewa eeh Kwa haya nilifanyiwa eeh Penzi langu bembea eeh Wamebembea wenginee Shimo mwenyewe nilichimba Ndo linalonizika najiuliza kwanini Mapenzi yote nilimpaa Angalia kulizika baada ya nyama ye akaleta mainii Kukupenda sababuu Moyo umeupa maumivuu Hata bila sababuu moyo umeupa ghazabu Kukupenda sababuu Moyo umeupa maumivuu Hata bila sababuu Moyo umeupa ghazabuu Kukupenda ndo sababuu wanipelekaaa Kutakuta wanipeleka Kukupenda ndo wanipeleka Kutakuta wanipeleka eeh Tuachane mdogo mdogo Na me nikwache mdogo mdodo Ya nini marambanoo na zogoo Tuachane mdogo mdodo Tuachane mdogo mdogo na me Nikwache mdogo mdodo Ya nini marambanoo na zogoo Tuachane mdogo mdodo Kukupenda ndo sababuu wanipeleka Kutakuta wanipelekaaa Kukupenda ndo wanipelekaa Kutakuta wanipelekaaa eeh Tuachane mdogo mdogo Na me nikwache mdogo mdodo Ya nini marambanoo na zogoo Tuachane mdogo mdodo Heheee Emma the boy Heheee Killing the beat No no no no huoo Niliweka malengo nayeee Ameharibu mwenendo Penzi kalitia pengoo mh Simung’unyii sihemi Classic