Yaga Don't be selfish baby (aha yaga) Abbah! Niliye naye hana kasoro Ya nini nipashe viporo Uliniacha totoro Bila ya godoro Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki (washa) Mie jiki (washa) Maji mwenzake koo oh Tucheze kidalipo oh Huko ulipo oh Salamu zikufikie Yameandikwa maandiko Usiibe mboga usilambe mwiko oh Kurudi kwako ni ndoto ah Usitake ajirudie Nile naye kwa siku mara tatu Kama mgonjwa wa homa Nikiumwa na pona Dozi nzuri yaani ile kuona Penzi ukalivika ngozi ya chatu Vya kupika ulichoma Penzi ukaliunguza Unataka kurudi hapana Maana Niliye naye hana kasoro Ya nini nipashe viporo Uliniacha totoro Bila ya godoro Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki (washa) Mie jiki (washa) Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki (washa) Mie jiki (washa) Nah nah nah Nah nah nah nah Hmmh Nah nah nah Ukiachwa achika Ukimwagwa mwagika Ukitemwa temeka Penzi mbovu ya nini kung'ang'ania Roho unaisononesha Moyo unaukondesha aah Wakati hujapendeka Wako wengi wanaokutamani Kaaga kaenda kwa mama (mdogo) Waja kumfuma gaba (majogoo) Ya nini kujisononesha Mtoto mdogo wajipaga pressure bure Nile naye kwa siku mara tatu Kama mgonjwa wa homa Nikiumwa na pona Dozi nzuri yaani ile kuona Penzi ukalivika ngozi ya chatu Vya kupika ulichoma Penzi ukaliunguza Unataka kurudi hapana Maana Niliye naye hana kasoro Ya nini nipashe viporo Uliniacha totoro Bila ya godoro Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki (washa) Mie jiki (washa) Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki (washa) Mie jiki (washa)