Mpenzi wangu, leo ninakuja kwako Ili nifungue roho yangu Tangu macho, yangu yaelekezwe kwako Sijawahi sema hivi lakini leo ninasema Ni wewe ninawaza usiku na mchana Ni wewe nitasema kwa baba na mama, eh Ni wewe utanipa msichana, mvulana Ni wewe (ni wewe, ni wewe, ni wewe) Ni wewe (ni wewe) Lyra Aoko Wewe ni wangu na mimi ni wako Hadi siku ya mwisho Nakupenda sana we, nataka tuoane Ili tuwe pamoja my baby I love you, you are the reason I'm alive Ni wewe Ni wewe ninawaza usiku na mchana Ni wewe nitasema kwa baba na mama, eh Ni wewe utanipa msichana, mvulana Ni wewe (ni wewe, ni wewe) Ni wewe (ni wewe, ni wewe, ni wewe) Ni wewe ninawaza usiku na mchana Ni wewe nitasema kwa baba na mama, eh Ni wewe utanipa msichana, mvulana Ni wewe (ni wewe) Ni wewe (ni wewe) Naimba juu yako nikisema eh Ni wewe ninawaza usiku na mchana Ni wewe nitasema kwa baba na mama, eh Ni wewe utanipa msichana, mvulana Ni wewe (ni wewe, ni wewe, ni wewe) Ni wewe (ni wewe) Baby, ni wewe Ni wewe Baby, ni wewe Ni wewe, ni wewe, ni wewe Ben Butali and Lyra Aoko Ni wewe ninawaza usiku na mchana Ni wewe nitasema kwa baba na mama Ni wewe utanipa msichana, mvulana Ni wewe Ni wewe