Nazungukua zungukua, natembea tembea Penzi lako ni asali, ntatuliza boli Nazungukua zunukua, natembea tembea Penzi lako ni asali, ntatuliza boli Nione, nikapenda kila kitu You're so beautiful, nusu malaika nusu mtu Unajua sana kuva System yangu umeiteka aah Kumbe sikupaswa kujichosa Kumbe nisinge jihangaisha Nazungukua zungukua, natembea tembea Penzi lako ni asali, ntatuliza boli Nazungukua zunukua, natembea tembea Penzi lako ni asali, ntatuliza boli Napatwa kigugumizi Napandwa na uchizi Mahaba yamenizidi na, na na Nakukuacha siwezi Anha Kukwacha siwezi Unaipa kile ambacho kwingine sipati Atanizunguke lazima kwako nitarudi Kumbe sikupaswa kujichosa Kumbe nisinge jihangaisha Nazunguka zunguka, natembea tembea Penzi lako ni asali, ntatuliza boli Nazungukua zungukua, natembea tembea Penzi lako ni asali, ntatuliza boli Nazungukua zunukua, natembea tembea Penzi lako ni asali, ntatuliza boli