Love, love, love, love, love, love Gonna make me go crazy Yeah, yeah, yeah, yeah Nakuona kwenye lockdown yeah Ningependa kuwa around bebe Tungekuwa tumewasha Ningekuwa nikimash up, eh-heh Kwenye picha weka hashtag There's nothing better kama good love and laughter yeah! Sema kile unatafta And I will give you more and more, yeah Ka si bahati basi Niambie ni wapi Utapatana na manzi Hayuko kila pahali yeah Hana chali Hapendangi makali Hapendangi maganji Atakupenda kila hali yeah Haka kamali si kalocal ni kashashamane Hako kafigure ni kale ni kanamba nane Takuwa noma mi na wewe tukijabulani Jabulani Kama unatafuta peddi, oh, yeah Peddi wa mapenzi Hii yangu ni heavy I hope uko ready Nikuwe your peddi Si nikuwe your peddi Apenji apenji Si nikuwe your Peddi Apenji apenji Si nikuwe your Peddi Apenji apenji Si nikuwe your Peddi Apenji apenji Si nikuwe your Peddi Mimi na wewe ni pare Toka 7 hadi ngware Karibia niigware Na usiseme ni sare We ni Jay mi ni nare You're the one I wanna marry Tusiende in a hurry And will give you more and more and more Juu underwater, nimekuwa nikikuota Nataka kuwa locked na somebody's daughter Tukifika nyumbani hatutawahi toka Tunaishi kileleni kama niko kwenye chopper Haka kamali si kalocal ni kashashamane Hako kafigure ni kale ni kanamba nane Ningependa tu kuona tukijabulani Jabulani Kama unatafuta peddi, oh, yeah Peddi wa mapenzi, oh wa Hii yangu ni heavy I hope uko ready Nikuwe your peddi Si nikuwe your peddi Apenji apenji Si nikuwe your Peddi Apenji apenji Si nikuwe your Peddi Apenji apenji Si nikuwe your Peddi Apenji apenji Si nikuwe your Peddi