Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Kaditamati naapa, muhogo sitonunua Haikuwa Maimuna, aliyekwenda ung'oa Kaditamati naapa, muhogo sitonunua Haikuwa Maimuna, aliyekwenda ung'oa Kapata tete kuanga, na ugonjwa wa shurua Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Kula dori kula dori, mshindo wa sufuria Guliguli guliguli, kofia ina viua Kula dori kula dori, mshindo wa sufuria Guliguli guliguli, kofia ina viua Ndiye mimi ndiye mimi, anipataye ukoa Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Mungu akitaka kupa, hakuletei barua Hukupa usingizini, pasi mwenyewe kujua Mungu akitaka kupa, hakuletei barua Hukupa usingizini, pasi mwenyewe kujua Kwenda mbio sikupata, bure unajisumbua Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Mkato wake matege, wakati anapokuja Naliiweka dhamiri, ya kumfulia koja Mkato wake matege, wakati anapokuja Naliiweka dhamiri, ya kumfulia koja Wallahi nimeghairi, kiumbe hana mmoja Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Kamfunge kamfunge, beberu wa Athumani Umfunge umfunge, pahala panapo jani Kamfunge kamfunge, beberu wa Athumani Umfunge umfunge, pahala panapo jani Endaye tezi na omo, atarejea ngamani Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Sina ngoa sina ngoa, kuhadaiwa sitaki Ni mwerevu ni mwerevu, wala sihadaiki Sina ngoa sina ngoa, kuhadaiwa sitaki Ni mwerevu ni mwerevu, wala sihadaiki Pambanua pambanua, viwili havipendeki Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko Muhogo wa Jang'ombe, sijauramba mwiko Usitukane wakunga, na uzazi ungaliko