Baby, nina kaneno niseme na wewe Tega sikio makini unielewe Kwamba wako wengi wazuri ila kwangu ni wewe My sweety, chunga usije niacha mwenyewe (hmm) Beiby ooh, beiby ooh You are the only in my heart oh Beiby ooh, beiby ooh Umenifunga hadi macho Ntalia (henhe), ntalia (hmm) Ah beiby, ah baby, ah baby I love you Ntaumia ntaumia ma Utanikoroga koroga akili ma Ntalia, ntalia I love you, I love you, I love you (ooh beiby) Ntaumia ntaumia mama (eeh) Hee hii Alivyojaza huko nyuma (aga) Kama kabeba mlima eeh (aga ga) Mi hoi nguvu sina (aga) Iyeyeye Kama ni boat za vinande (aga) Roho itaniuma ukiniacha (aga) Iyeyeye yelele (aga) Iyeyeye yelele Shindu shindua ukinuna nitacheka Nipe kitandani vyote Mpaka kwenye mkeka Oh, beiby, milio fulani kama toni za tarumbeta Kama ni pambano We mayweather mi ni chekaa Asi beiby, we ning'ang'anie Hujalo acha wacha nikumwagie Fanya dari we uning'inie Ah yeyeye yeye Ntalia (henhe), ntalia (hmm) Ah beiby, ah baby, ah baby I love you Ntaumia ntaumia ma Utanikoroga koroga akili ma Ntalia, ntalia I love you, I love you, I love you (ooh beiby) Ntaumia ntaumia mama (eeh) Hee hii Alivyojaza huko nyuma (aga) Kama kabeba mlima eeh (aga ga) Mi hoi nguvu sina (aga) Iyeyeye Kama ni boat za vinande (aga) Roho itaniuma ukiniacha (aga) Iyeyeye yelele (aga) Iyeyeye yelele Aah ooh hodari Togo meli mix na sukari Mwenzako silali eeh Wowowo hodari Mwenzako kuku na kidelima Yaani mwenzako silali yeyeye