Tunatoka Ghetto na bado tuna ndoto Mtaa hakuna mataa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Nataka niwe taa ya ghetto (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Ng'ang'ana kazana wewe ni shujaa Struggle, hustle, hutalala njaa Huwezi muomba akunyime taa Ana kila kitu, store yake imejaa Life ni kujikaza kama soldier ndani ya kambi Kwani umasikini kaka-dada sio dhambi Utajiri si kitambi Hata usikie uduu aje, usiwai kunywa sumu Usiwahi kata tamaa hata life ikuwe ngumu Ng'ang'Ana jikaze kama kamba za njumu Kumbuka inakatwa na inamea kucha Usiku kuwa refu haimaniishi hakutakucha Your past to be dark, yeah it doesn't mean Kuna bright future! Ni ya mtaa, mtaa, mtaa Ni ya mtaa, mtaa, mtaa Tunatoka Ghetto na bado tuna ndoto Mtaa hakuna mataa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Nataka niwe taa ya ghetto (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Utamu wa berry ni root kuwa deeper Keep it simple, lakini usiwe cheaper Maono, ndoto zako zilinde kama keeper Hustle, jasho itoke na mishipa Usichoke na kungoja, subira inalipa Tena penye nia, njia lazima itajipa Yaani hii ngoma, jo ni dedication Kwa mayut wote, all over the nation Ndani ya mambulu, hadi radio station Jina ni C Cipi, nakupa motivation, inspiration Life is a journey, sio destination Kesho inajengwa na today preparation Unaneed focus na determination Manze na utafika penye unataka Bila hesitation Tunatoka Ghetto na bado tuna ndoto Mtaa hakuna mataa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Nataka niwe taa ya ghetto (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Sikiza mistari Muziki ni dawa na me ndio daktari Basi kaa tayari, raia, askari Nikupe habari, maisha ni safari Life is a journey Big up Kiamaiko, Huruma ndio nyumbani Tena its a jungle, ghetto ni njagwani Lazima u-struggle, hustle uget money Never ever give up, jo maishani Kwani penye nia pana njia si utani Unaweza kuwa chochote duniani Kwani hakuna kitu, haiwezekani Jiamini tu na utamake it yaani A week, a month, is what make a year Step by step, where you wanna be Utaget near, live without fear Its only in God, you can see the star Tunatoka Ghetto na bado tuna ndoto Mtaa hakuna mataa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Nataka niwe taa ya ghetto (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Tunatoka Ghetto na bado tuna ndoto Mtaa hakuna mataa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Nataka niwe taa ya ghetto (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa) Mi nitawasha mtaa (ni ya mtaa mtaa mtaa)