Vile nakunyamazishaga Pale napokufikishaga Cheka kwa dharau Sio kichumba kingine ni za kichaga Azonga! Cabalera, siñora Usiletee na maneno yakachonge barabara Eeh eeh, kama tutakosa pesa tutalala Eeh eeh, sina gari tutapanda daladala Baby ogopa vya watu, kuna majini watu Siku hizi wanaitwa manyaku, uh, uh, uh, uh Asije ingia shetani kwenye penzi letu Akaja kusambaratisha ule utamu wetu baby Funga milango na komeo Cha kwangu sio banda la video Wakikurubuni kaza moyo, ooh, ooh Manjegeka, manjegeka (Eeh eeh) manjegeka, manjegeka (Usiletee) manjegeka, manjegeka (Eeh eeh) manjegeka, manjegeka Azonga! Cabalera, siñora Eeh, wanaoona wivu wajiue Sumu inauzwa kanunue Maneno maneno wanitue Yapogo hata kwenye kanga Penzi tufunge na kamba Kuwa pete niwe chanda Inama ni kissi kidogo tu Nilegeze naona ushakuwa dede Inama nishike my baby Vyote vyako sileti manjegeka Kuku mayai nitage Zama chini safisha piga deki Ooh daddy hushindwi we Vile nakunyamazishaga Pale napokufikishaga Mpaka kucha unang'ataga Sio kichumba kingine ni za kichaga Huh, ukinigusaga Kinyume nyume naendaga Aah we baba Vidollar dollar naimwaga Aah baby Funga milango na komeo Cha kwangu sio banda la video Wakikurubuni kaza moyo, ooh, ooh Manjegeka, manjegeka (Eeh eeh) manjegeka, manjegeka (Usiletee) manjegeka, manjegeka Manjegeka, manjegeka Eeh eeh (ehee)