Sitajuta kupenda ingawa yaumiza moyo Me naumizwa kukosa la kupewa likiiizo Mimi sina makosa Mapenzi ya hofu ni kawaida Ni kheri ukihisi jambo Ulichunguze upate uhakika Mimi sina makosa Mapenzi ya hofu ni kawaida Ni kheri ukihisi jambo Ulichunguze upate uhakika Si ulisema mwenyewe nisipige simu Wala kutuma message Na ukasema kwamba hunipendi kuniona Unaweza tokwa machozi Tukigombana tunaelewana Mwisho tunapuuzia Hili limekaaa haifai iih kunyamaziwa Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia Hili limeka aah haifai iih kunyamaziwa Wivu ninao ni binadamu nimekamilika aah Ingawa muda sinao kila dakika me naijutia aah (Lingala) Sijui kwanini tunagizana Wakati najua tunapendana Hatua zetu zinapishana Kwenye safari Yetu ya mapenzi Si ulisema mwenyewe nisipige simu Wala kutuma message Na ukasema kwamba hunipendi kuniona Unaweza tokwa machozi Tukigombana tunaele wana mwisho tunapuuzia Hili limeka aa haifai iih kunyamaziwa Tukigombana tunaele wana Mwisho tunapuuzia Hili limeka aa haifai iih kunyamaziwa Lenye uhakika tulifuate yeehee Lisilo uhakika tuliache yeehee Sina unajua na kupenda Si unajua achana nao Si unajua nakupenda Mtoto achana nao Si ulisema mwenyewe nisipige simu Wala kutuma message Na ukasema kwamba hunipendi kuniona Unaweza tokwa machozi Tukigombana tunaele wana Mwisho tunapuuzia Hili limekaa haifai iih kunyamaziwa Tukigombana tunaele wana Mwisho tunapuuzia Hili limekaaa haifai iih kunyamaziwa Hilo aifai kunyamaziwa Hilo aifai kunyamaziwa Hili aifai aifa iih Hilo aifai kunyamaziwa