Haayaa haaaya! Haayaa haya Oooo, ooo! Hayaaa! Hayaaa! Haaaya haya Yani mara kumi ungekua mbaya Halafu ungekua na hela Lakini tatizo lako mbaya Halafu hauna hela Ni mara kumi ungekua kijuso Halafu ungekua na hela Ila tatizo lako kijuso Halafu hauna hela A! Sa mbona unapata tabu kujichubua Tako huna unafosi kujibinua Baby wangu hajadata na chura ka hujajua Kadata na mambo matamu nnayomgea Nikwambie wewe Ha! Kwa uzuri hujanzidi mimi Kwa utamu hujanzidi shoga yangu Kwa uzuri hujanzidi mimi Kwa utamu hujanzidi shoga yangu Na huyo baby wako alikuwa wa kwangu Kabla ya kuwa wa kwako Hauniambii kitu kuhusu yeye Hata kulala alilala kwangu Kabla kulala kwako Kwahiyo unitishi mbwa wewe Oya we Hakuna ulichonizidi cha kunipa stress We nyota yako ya kuni mie mwenzako ya gesi Mwenzako uzuri wako natural sio wako wa kufeki Mwana mwenzangu una rangi nyingi ka kombati ya jeshi Sa mbona unapata tabu kujichubua Tako huna unafosi kujibinua Baby wangu hajadata na chura ka hujajua Kadata na mambo matamu nnayomgea Nikwambie wewe Kwa uzuri hujanzidi mimi Kwa utamu hujanzidi shoga yangu Ooh! Kwa uzuri hujanzidi mimi Ai, udugu we kwa utamu hujanzidi shoga yangu Haunitishi hunisumbui (hujanzidi mimi) Jiangalie kuvaa hujui (hujanzidi mimi) Aii! Hapo kwanza ncheke ha! Wanangu baado sijasikia shangwe Kama umeme umerudi (huo) Masela baado sijasikia shangwe Kama umeme umerudi (huo) Ai! Mara tena umekata (aaaa) Mama, mara tena umerudi (huo) Wewe mara tena umekata (ah) Twende show me gidi gidi, gidi! Baby gidi gidi, gidi! Twende gidi gidi gidi, gidi wee Gidii gidiii, gidi! Kwanza muone amepandwa na ibilisi Alikaa pembeni, hivi sasa ameingia kati Ona mwili mkubwa kumbe kibonge mwepesi Kulia kushoto dunda kama kitenesi Twende sasa gidi gidi, gidi! Baby gidi gidi, gidi! Twende gidi gidi gidi, gidi! Gidii gidiii, gidi! Hapo kwanza ncheke Ha-ha! Oya we We hili goma noma kwani amelipiga nani Mana wanafanya wanangu kama wamepandwa shetani We hili goma noma kwani amelipiga nani Maana wanavua mashati kwenye miti wanachuma majani Oya wanachuma majani Wanaleta majani Mama wanachuma majani Wanaleta majani, oya! Diblo nipe Nipe tena Diblo nipe Nipe tena