Kwahiyo ndo unadhani labda ningelia Ulivyoniacha au labda ningeshindwa kula Au labda unadhani ningekunywa sumu Ulivyoniacha au labda ningeshindwa kulala Kwanza lihusiano lenyewe lilipooza Auna jipya style mpya umedoda Maajabu hauna ndani pumzi kisoda Nijinyonge kisa we unawazimu umerogwa Aiy ndo maana usiulizwe why uliachwa Haujui kulamba lolo, haujui kulamba lolo Usiulize kwanini uliachwa (haujui kulamba lolo) Haujui kulamba lolo Kwanza alafu hata haiyumi (mbona hainikereketi) Mbona hata hichomi (mbona hainipwiti pwiti) Alafu hata haiyiumi (mbona hainikereketi) Mbona hata hichomi (mbona hainipwiti pwiti) Ah eh-eh eh-eh! Haya! Uzuri wako wa filter unakudanganya Umeniacha juzi jana nimepata bwana Tena mtu mwenye hela alafu tunaendana Tushakula viapo mi nae atuwezi achana Ona kwanza kila siku unataka mchezo, kwani huchoki kenge wewe Na ukinyimwa tu unanuna paka upewe Kibonge mayai upigi msamba paka ulewe Ety haunipendi hainihusu utajuwa mwenyewe Aiy ndo maana usiulizwe why uliachwa Haujui kulamba lolo, haujui kulamba lolo Usiulize kwanini uliachwa (haujui kulamba lolo) Ah! Mbona lolo Kwanza alafu hata haiyumi (mbona hainikereketi) Mbona hata hichomi (mbona hainipwiti pwiti) Alafu hata haiyiumi (mbona hainikereketi) Mbona hata hichomi (mbona hainipwiti pwiti) Ah eh-eh eh-eh! Weka! Wanangu tuwarudishe shuleni Masela shuleni, tuwarudishe shuleni, ah JM Twende mkanda mkende mkindi mkondo (Utakufa vibaya wewe) Maaama! Kwanza mpamba mpembe mpimbi (uongo)