Ai, Pablo Mr. LG Ai sweetie kuna kitu mi nataka nikwambie Lakini naogopa utaniona ka una wivu hivi Oh sweetie, nikunong’oneze wa pembeni wasisikie Maana naogopa wataniona ka nina wivu hivi Asa sijui ndio ujinga, sijui ndo ufala Au sijui mazoea, ila napata tabu ukiwa mbali ma Maona nashindwa, kula hata kulala Mnyonge nanyong’onyea Mwenzio napata tabu ukiwa mbali ma Honey kwako mi chizi poyoyo Usiende mbali nami, we ndio tulizo la moyo Honey kwako mi chizi poyoyo Usiende mbali nami, we ndio tulizo la moyo Oh na kama sio wewe (nani) Wa kuniliwaza (nani) Kunibembeleza (nani) Wa kunipepea nilale (nani) Na kama sio wewe (nani) Wa kuniliwaza (nani) Kunibembeleza (nani) Wa kunipepea nilale (nani) Mh Zuchu-chu-chu Kuna venye hutimamu Unaniteka na kuwa chakaram Hii inaitwaje kitaalam Ukitajwa kimoyo ni paaah Why why why why tam Mshwiti mshwiti bubble gum (bubble gum) Yani yam yam yam yam yam Ndo mapenzi au ufalaa Why why why Kwanza yote tisa kumi Moyo umeuhamisha kambi Kanipa penzi sabuni Lanitakatisha dhambi Wanasubiri livunjike penzi hili Hatutishwi na tumbili Kuachana apende mwenyezi Honey kwako mi chizi poyoyo Usiende mbali nami, we ndo tulizo la moyo Honey kwako mi chizi poyoyo Usiende mbali nami, we ndo tulizo la moyo Oh na kama sio wewe (nani) Wa kuniliwaza (nani) Kunibembeleza (nani) Wa kunipepea nilale (nani) Na kama sio wewe (nani) Na kama si wewee (nani) (nani) Naani nani (nani) Wa kunidekeza