Truliya ba tsi hu miliki Ba we faraji we tsi dhiki Leo ko zidjo wu riki yeah! Ye kibula ndiyo na faliki Tsombo mgu yanipve riziki No ntsi shiriki yeah yeah! Moyo wangu unadunda kasi Akili ina wasiwasi Mwili umekufa ganzi We huni djipviya halisi Huni kizaza halisi Leo ndo handani Kutema sitamani Ulicho nipa ni siri Tamu ladha asali kiganjani Haki sitamani Ulicho nipa ni siri Tamu ladha asali kiganjani Unipe dozi nitrulie Nimalize mi uniue wewe Kwenye mboni nakwona wewe Mie kiti nikalie wewe Eh he! Unike mbiho ni yewuhe Nike dja superman (Superman superman) Eh he! Unike mbiho ni yewuhe Nike dja superman (Superman superman) Kutema sitamani Ulicho nipa ni siri Tamu ladha asali kiganjani Haki sitamani Ulicho nipa ni siri Tamu ladha asali kiganjani