Yaani wee chungu chote umekomba nyama Majiwenge haitoshi ukamponda jamaa Mawenge zile mie kutwa tamaa Nitembee nisimame mara kuchutama Ile katambua uliapa huniachi mii Iwe jua au mvua joto kali baridi Bora zaidi nijue ni ipi shida yangu mi Ninunue hata maua nikifa yanifariji Nalegea pumzi inapotea Cha kunipepea kipo mbali mbali Nalegea pumzi inapotea Cha kunipepea kipo mbali Nitafanya mimi mie, homa homa Moyo wangu utulie, homa homa aah Nitafanya mimi mie, homa homa Moyo wangu utulie, homa homa aah Ile mideko, mineso yote chumbani Leo mateso kuliko uyaone ukubwani Kukufanya special kafiri wangu mwandani Hakikufika kesho uniombe chumvi jamani Isiponi maana Nalegea pumzi inapotea Cha kunipepea kipo mbali mbali Nalegea pumzi inapotea Cha kunipepea kipo mbali Nitafanya mimi mie, homa homa Moyo wangu utulie, homa homa aah Nitafanya mimi mie, homa homa Moyo wangu utulie, homa homa aah