Lalalalalalala Sio kama nalalama Au nimekata tamaa Unanijua vyema Ila nahisi kuzama Tumani langu ni kwako Rabana Hii vita mi siwezi pigana Dunia ni pana ila nahisi nabanwa Nishike mkono Rabana Sina bahati sibahatikii Nachoshika ata hakishikiki Wema wangu malipo yake chuki Ila najua Tiba yangu dua Najua utaisikia Haya (haya) Haya (haya) Haya dua utaisikia Haya (haya) Haya (haya) Haya dua utaisikia Najiuliza sana Zipi zangu kasoro Nikitazama mbele Naona giza totoro Nimejishusha sana Naiteka ni kitu kolo Mimi ni nani Kinishinde dhamani ata kiporo Ila najua Tiba yangu dua Najua utaisikia Haya (haya) Haya (haya) Haya dua utaisikia Haya (haya) Haya (haya) Haya dua utaisikia Dua, dua, dua ataisikia Usichoke kufanya dua ataisikia Dua, dua, dua ataisikia Usichoke kufanya dua ataisikia