Chu chu chu Chu chu chu chu chu Eeeh eeh, wangela wanaingia (Le général Dangote) Ooh, ooh, wenye mji wamevamia (Le grand?) Eeeh eeh, wangela wanaingia (Mama Dangote) Ooh, ooh, wenye mji wamevamia (Le grand?) Ona mpaka leo, oh majibu sipati Yaani mpaka leo nabaki katikati Rafiki rafiki Rafiki wa kweli ni nani Rafiki rafiki Ni ndugu ama jirani Umeparty naye kwa starehe Wakulia nawe msibani Wakukosa akuongezee Ama yule wa nipe nami Mwenzenu nimekosa Rafiki yangu pesa Rafiki yangu pesa Rafiki yangu pesa Rafiki yangu pesa Asa chi achi (achii) Chibu Dangote (achii) Yama chi achii (achii) Dachidi benzi (achii) Asa chi achi (achii) Achibua geto (achii) Akuombe chii ni chi (achii) Chipolopolo asa chii Achi chi chi Achi chi chi (La présidente Mama Samia) (La présidente Mama Samia) Ey, achike chike achiki Achike chike achiki Achike chike achiki Achike chike achiki This is obao Dabolo kings Dansi bito, dansibide Dansi sukari Tobina Dansimbakamu Dansibideda dansibi Zindebakune zinda Zindebakune zinda Usepeta zinda Usepeta zinda Zinda bagolo zinda Osepenza zinda Mama Lia bangondo Lia Lia bangondo Lia Mama Lia bangondo Lia Lia bangondo Lia Chiriwaango Chiriwaango babu Chiriwaango Chiriwaango babu Oh niache in the moody leo Nataka niparty nipartyke Niache nkafurahiye Nataka niwimbotwike Niache in the moody leo Nataka niparty nipartyke Niache nkafurahiye Nataka niwimbotwike Oh niache in the moody leo Nataka niparty nipartyke Niache nafuraha leo Nataka niwimbotwike Niache in the moody leo Nataka niparty nipartyke Niache nafuraha leo Nataka niwimbotwike Wambie marafiki (Sa nimebado bombo) Ooh mimi leo (Sa nimebado bombo) Ah na wanangu (Sa nimebado bombo) Ai mimi hapa (Sa nimebado bombo) Yani mwenzenu (Sa nimebado bombo) Nasema leo (Sa nimebado bombo) Pusa pusa pusa Pusa mama pusa Pusa babe pusa Yaka (taka)