Hii ariro arioo rarari rarariri Iya iya iya eeh Tiyadi yadi Yadi yadi yadi Me amor teamo le te quero te quero Yaliyomo yamo Ujazo wa penzi kwa bero Mwenzako migulu chegele Kwa ndani naugulia kwa nje bwerere Sema upendacho utakula njegere Kinyama kurumagia au nkuchumie tembele Na bila huruma unanichuza mambo unayabaruza Mi mtoto unanikuuza we hayaaa! Unanichezesha kwaito wakorowaito You de give me banana yo love is tanana Nacheza kwaito wakorowaito My baby twachezeshana Che che (hee) Checherumba che chе (tunashikana shikana) Checherumba che chе (tunachezeshana) Checherumba che Che che che rhumbaa Che che (chee) Checherumba che che (zinatoka cheche) Checherumba che che (tukigusana gusana) Checherumba che Chee chee chee Eeh unapendaga chocolate (enhe) Mavanila nila (enhee) Tamtam sweety eti (enee) Nikichenga ka roger milla (enhee) Mbrroooke! Penzi koleza udi wa Dubai (alhabib) Huba lipambe moto Kama mafuta kwa karai okey Na ulivo katotorito toh Leo mpaka kokoriko ko Getoni kulamba mwiko ko Sakafu adi kwa tandiko ko korikoko Mama utaniua (nikomeshe) Ya leo kiboko (nikomeshe) Imezidi utamu (nikomeshe she she nkomeshe) Asa kukwacha we (ntawezaje) Niende kwa mwengine (ntawezaje) Jeuri sinaa jinsi twachezeshanaaa Che che (hee) checherumba (tunashikana shikana) Checherumba che che tunachezeshana Checherumba che che che che rumba Che che (chee) Che cherumba che (zinatoka cheche) Cche che checherumba (tukigusana gusana) Che che cherumba che Che che che Na kakara zako kinkirii (kinkiri kanka) Kinkiri kakararara Kinkiri kanka kinkiri Yo unanimalizagaa Eeh na kakara zako kinkiriii (kinkiri kanka) Venye unavyokinkiri (kinkirinka kinkiri oooh) Kinkirikanka ki ka kirinkaka Unanichezesha kwaito wakorowaito You de give me banana yo love is tanana Nacheza kwaito wakorawaito My baby twachezeshana