(Ayolizer) Si kokoko si kandambili Yaani vyote havikupendezi Mwana ngoko usonawili Tope bin uterezi Utaishia kututabiri Tubomoke inasonga miezi Mola ameshatakabiri Usijichoshe halivunjiki penzi Ona umekosa nuru Umekosa bahati huna Unaitwa kunguru Ukifika wananuna Ndo ndo ndo mwana chururu Asiye mbuzi wataka chuna Mengine nisikufuru, mmh Hazikukai maskara Wala make up zinakushuka Uso umekuparara Mwili shock up, zimetenguka Uso sauti ya stara Kwa kudeka unawehuka Jibwa koko la Mbagala Unabweka na kubwetuka wala Wala haunisumbui wala Wala haunisumbui wala Wala haunisumbui wala Wala haunisumbui wala Na hizo post mara kubebana Mara eti mnabusu mtamaliza bando Unaowatuma kunitukana Siogopi mashushu me wala michambo Kutwa kwa mapage feki Kama lokole linahusu? Mkwe akutaki eti Mwenzangu pole mbona kuntu Vimeseji kujitumisha Kwa ndugu zangu marufuku Nyota imekufubika Usifosi umaarufu Upepo wa kisulisuli Unakuchukuwa na nuksali Tanga lipulipuli Wanakununua kwa mizani Kwangu mpambe shughuli Najiashua burudani Na toto nzuri nzuri Nimelitua tuli ndani ii Ona umekosa nuru Umekosa bahati huna Unaitwa kunguru Ukifika wananuna Ndo ndo ndo mwana chururu Asiye mbuzi wataka chuna Mengine nisikufuru Usiye wa shaba wala chuma Wala haunisumbui wala (Wala hamunikondeshi) Wala haunisumbui wala (Mujipost mainstagram) Wala haunisumbui wala (Wala hamunitetereshi) Wala haunisumbui wala (Waalah) (Wasafi)