Eeeh, wetin na do today Wapi zinachomwa crate Wetin na do today Wapi tunacelebrate Wetin na do today Wapi zinachomwa crate Wetin na do today Wapi tunacelebrate Kwanza bwana asifiwe (hallelujah) Tuliouona mwaka (happy new year) Kula pombe mpaka (upande juu ya) Meza ucheze chezea juu Lete misosi jiachie kula Maisha yenyewe vuvula Wanga ni wengi wa kuchura Na hatuijui kesho It's a hoo holiday Yani hoo holiday It's a hoo holiday Yani hoo holiday Holiday Hoo hoo holiday Hoo hoo hoo holiday Hata nkisema nijichange Sijui mwaka gani ntanjenga hicho kibanda Mwisho nije kufa bora Nijipe raha kuliko kuzichanga Na mapenzi mtanange hayanaga fadhila Hata uwe umejipanga We unagharimikia na kuna baharia Anakula bure mwamba Ooh yani, mauzauza eeh Mauzauza ooh Mauzauza, mapenzi mauzauza Eeh mauzauza ooh Mauzauza eeh eeh eeh Mauzauza mapenzi mauzauza Kwanza bwana asifiwe, hallelujah Tuliouona mwaka, happy new year Kula pombe mpaka, upande juu ya Meza ucheze chezea juu Lete misosi jiachie kula Maisha yenyewe vuvula Wanga ni wengi wa kuchura Na hatuijui kesho It's a hoo holiday Yani hoo holiday It's a hoo holiday Yani hoo holiday Holiday Hoo hoo holiday Hoo hoo holiday Huyu zombie jama zombie Zombie Ana karahaa Zombie Ana sifa Zombie Ana balaa Huyu zombie jama zombie (we zombie) Zombie Ana karahaa (haujuii) Zombie Ana sifa Zombie Ana balaa Huyu zombie nyie zombie (maama) Huyu mwana Ana balaa Kazombie kana sifa Zombie Ana balaa Huyu zombie jama zombie (we zombie) Zombie Ana karahaa (haujuii) Zombie Ana sifa Zombie Ana balaa