Kamata kamata kamatika kamata Kamata kamata mpaka chini kamata Kamata kamata kamatika kamata Kamata kamata mpaka chini kamata Kamata kiuno kamata bega Kamamta kichwa ka ndoo unabeba Kamata kimini chalegalega Ooh maana cha shuka chini unanitega Aah mah ya leo kiboko Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo Ana komesha toto Nami naleta nyundo nimtwange kokoto Nasema kamata kamata kamatika kamata Kamata kamata mpaka chini kamata Kamata kamata kamatika kamata Kamata kamata mpaka chini kamata Eeh kama gari ile vuum vuum (vuum Vuum) Mtoto mkali mchum chum (chum chum) Ikiwa ngangari ile ngumu ngumu (ngumu ngumu) Nenda kamchinjie mbali kwa room room Sa twende kamata kama unaisakata Nyuma kwa bambata ile kinoma Tegeta tabata fanya unaifatata Za mbuzi kakataa amegoma (aiih) Katikati chini chini (kamata) Kasi kasi speed 12o (kamata) Eeh kama unamenya ndizi (kamata) Police anashika mwizi (kamata) Aah mah ya leo kiboko Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo Ana komesha toto Nami naleta nyundo nimtwange kokoto Nasema kamata kamata kamatika kamata Kamata kamata mpaka chini kamata Kamata kamata kamatika kamata Kamata kamata mpaka chini kamata