(Woo, woiyo ooh woiyo ooh) It's Platnumz, Zombie (Woo, woiyo ooh woiyo ooh) Its s2kizzy beiby Ati kanyaga ka Ana pigo za unafiki Kanyaga kama mmbeya asiye rafiki Kanyaga kama fisi Ana roho ya usnichi Hakulishi, hakuvishi kwani vipi? Kanyaga Wazee wa shombo kudandia, kanyaga Klabu kuomba omba bia, kanyaga Slay queens vitisho vya bandia Ukivipa hai ati madai vinavimbia Kanyaga Uzushi, kanyaga Mashemu feki, kanyaga Nuksi, kanyaga Kudadadeki, kanyaga Mawifi, kanyaga Mpaka ma ex, kanyaga Mikosi, kanyaga Wooya kanyaga Kanyaga, kanyaga Kanyaga, kanyaga Kanyaga, kanyaga Kanyaga, kanyaga Yii, kanyaga, kanyaga Kama unanicheza zangu Kanyaga, kanyaga Wale wakuda wadaku Kanyaga, kanyaga Yeah, kidaku daku Kanyaga, kanyaga Wajue hizi namba chafu Woo, woiyo ooh woiyo ooh Woo, woiyo ooh woiyo ooh Ooh, yeah eeh Siku hizi watu wanataka money So nikimuita aku kosti, kanyaga Kunitumia mipicha pigo gani? Ati basi day nikuposti (oh, yeah, yeah) Kadi za harusi kuchanga changa, kanyaga Wakati mwenyewe nina majanga, kanyaga Sina godoro sina kitanda Ati nikuchangie kodi kwenda kupanga (yii) Kama buti la mugambo, kanyaga Wavuruga mipango, kanyaga Wazee wa insta michambo Ati 'baby niunge bando' Kanyaga Uzushi, kanyaga Mashemu feki, kanyaga Nuksi, kanyaga Kudadadeki, kanyaga Mawifi, kanyaga Mpaka ma ex, kanyaga Mikosi, kanyaga Wooya kanyaga Kanyaga, kanyaga Kanyaga, kanyaga Kanyaga, kanyaga Kanyaga, kanyaga Yii, kanyaga, kanyaga Kama unanicheza zangu Kanyaga, kanyaga Wale wakuda wadaku Kanyaga, kanyaga Yeah, kidaku daku Kanyaga, kanyaga Wajue hizi namba chafu I say leeoo Usiku hatulali, tunakesha kama popo Leo, leo Tena wape na bare, kama wao pakasi kwako Asa timba, timba timba (timbaa) Wanangu timba (timbaa) Wao kula kushoto (timbaa) Kula kulia (timbaa) I say timba, timba timba (timbaa) Oyaa wahuni timba (timbaa) Kama unazikili (timbaa) Mchaka kabisa akili (timbaa) Kimya