S2 Keys, baby! Wimbo Wimbo huu Ajejeje Mnh eh Joto lije ntakupepea Ntakutunza ntakutetea Wanune wavimbe, I don't care Hawajui unachonipea Mpaka napagawa Na sio mambo ya dawa We ni mtamu mwaya Na haunaga show mbaya Ukinigusa tu nalegea Mwili wote teketeke Yani siwezi ata kutembea Kama mtoto tete tete (Ayayayaya) Na nyuma ni muganda (huyu mwana) Shepu ya kitanga (huyu mwana) Ngozi ya kirundi ooh (huyu mwana) Sura ya kinyarwanda (huyu mwana) Na nywele ya kisomali (huyu mwana) Macho ya Ethiopia (huyu mwana) Utamu Tanzania ooh (huyu mwana) Akili ni ya kenya Yule anaepinga asimame Anaepinga asimame Sema ukweli wako Nyie haka (katam tam katam) Kababy kangu jama (katam tam katam) Kashunushunu bwana (katam tam katam) Ooh mzuri wewe (katam tam katam) Umeumbika mwaya (katam tam katam) Aii yoo yooh (katam tam katam) Kisura chake (katam tam katam) Ona umbo (katam!) I know the bar was so low Lakini umenivumilia Mahaba nayasikia mama Nakupa mia kwa mia Baby you don't know Vile umenishikilia Uka ni kinga wa dunia mama Sijui nikupe nini dear Nafufua wahenga Watunge nyimbo tamu na mashairi Mtu asije tenga Ishaandikwa duniani na mbinguni Mchuzi we ndo flavour Imebidi niite mondi aje tujadili Nikatuma mshenga Hadi kwenu East Africa mashariki tete (ayayayaya) Na nyuma ni muganda (huyu mwana) Shepu ya kitanga (huyu mwana) Ngozi ya kirundi ooh (huyu mwana) Sura ya kigali yeeh (huyu mwana) Na nywele ya kisomali (huyu mwana) Na macho ya habesha (huyu mwana) Forehead ni ta kenya (huyu mwana) Tabasamu la juba Yule anaepinga asimame Anaepinga asimame Sema ukweli wako Nyie haka (katam tam katam) Kababy kangu jama (katam tam katam) Kashunushunu bwana (katam tam katam) Ooh mzuri wewe (katam tam katam) Umeumbika mwaya (katam tam katam) Aii yoo yooh (katam tam katam) Kisura chake (katam tam katam) Ona umbo (katam tam katam) Sa twende popopo adigidigi Asuke rasta ama avae wigi Jamani popopo adigidigi Utaitaka tu kujigijigi Jamani popopo adigidigi Asuke rasta ama avae wigi Nasema popopo adigidigi Utaitaka tu kujigijigi Let's make a toast to my baby East African lady Let's make a toast to my baby My African lady Let's make a toast to my baby ooh My Asian baby aah Let's make a toast to my baby ooh My European baby aah Aje jeje Mnh mnh mnh