Wenzako waolewa we huolewi kwani we Ati una hila moja huseni na majirani we Sema na hila ya pili ukihongwa hufanani wewe Sema na hila ya tatu midabwada kitandani we Sema na hila ya nne mwenzetu nchafu ndani we Kanijengee kibanda kwetu eeh eeh eeh Kanijengee kibanda kwenu wataniua (Kanijengee kibanda kwetu eeh eeh eeh Kanijengee kibanda kwenu wataniua) Kanijengee kibanda udugu wangu eeh eeh, eh Kanijengee kibanda shoga zako wataniua (Kanijengee kibanda kwetu eeh eeh eeh Kanijengee kibanda kwenu wataniua) Lalilo lilo eeh, pambe tu Lololololo lololololo Lali lali lali, laa lalii, lali lili lalii Ooh oh, jani hilo, jani la mua eeh eeh, eh Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi (Jani hilo, jani la mua eeh eeh, eh Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi) Ooh oh, jani hilo, jani la mua eeh eeh, eh Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi (Jani hilo, jani la mua eeh eeh, eh Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi) Ooh oh, jani hilo, jani la mua eeh eeh, eh Watu wote zoazoa lakini toss umezidi (Jani hilo, jani la mua eeh eeh, eh Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi) Ooh oh, jani hilo, jani la mua eeh eeh, eh Watu wote wachepuka lakini lizer umezidi Acha nicheze mie (Na watu wangu jangwani nalia) Oh acha niringe mia (Na watu wangu jangwani nalia) Aah, aah, aah acha nicheze mie (Na watu wangu jangwani nalia) Acha nijishaue shaue (Na watu wangu jangwani nalia) Ooh lolilo lilo eeh Kuntu, mambo hayo Alolololo lolo loloo Aah eeh mama mwanangu ooh (Mama mwanangu ooh) Aah mama mwanangu ooh (Mama mwanangu ooh) Waniacha nasaga mpunga we, mbona sijijui Waniacha nasaga mpunga we, mbona sijijui Waniacha napinda mgongo we, mbona usiniambie Aah waniacha napinda mgongo we, mbona usiniambie Jamani mi naumwa eeh eeh eeh naumwa Naumwa ooh, ooh oh, naumwa aah, naumwa Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole (Naumwa eeh eeh, eh, naumwa Naumwa ooh, ooh oh, naumwa aah, naumwa Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole) Jamani mi naumwa eeh eeh eeh, naumwa Naumwa ooh, ooh oh, naumwa aah, naumwa Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole (Naumwa eeh eeh, eh, naumwa Naumwa ooh, ooh oh, naumwa aah naumwa Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole) Naumwa kijipu upele jama, naumwa huniambii pole Oyaa mwafulani wee (khaa) Ooh mwafulani usitukane dangaji nakuambia aah Huo udangaji kaunaza dadayo kuutumia Ukiona mwana wa mwenzio budege (Na wako vilevile, na wako vilevile) Aah, aah ukiona mwana wa mawenzio mchele (Na wako vilevile, na wako vilevile) Ukiona mwana wa mwenzio shangingi (Na wako vilevile, na wako vilevile) (Aah lilo lilo eeh, tamu) Nipeni barua yangu (niisome) Nipeni barua yangu (niisome) Nipeni barua yangu (niisome) Jamani barua yangu (niisome) Nipeni barua yangu (niisome) Naitaka barua yangu (niisome) Barua jama barua eeh (niisome) Barua jama barua eeh (niisome) Barua ya bwana ndani eeh (niisome) Barua jama barua eeh (niisome) Barua ya bibi ndani eeh (niisome) Barua ifike vyema eeh (niisome) Barua mama barua aah eheeh, eh, eh Ooh nyie wana dar es salama embu acheni umbumbumbu Nyie wana dar es salama embu acheni umbumbumbu Shariti ni kuinama ukitaka cha uvungu Asa mbona wapata bwana halafu humpi? Naombeni barua yangu (niisome) Naitaka barua yangu (niisome) Niisome barua yangu (niisome) Barua jama barua eeh (niisome) Aah eehh Jamani kuna kijiti kimoja kwa jina sitokitaja Ukiona chasimama ujue chataka haja Ukiona kimelala kisha cghafua mapaja Jamani wewe Nipeni barua yangu (niisome) Naitaka barua yangu (niisome) Nipeni barua yangu (niisome) Barua jama barua eeh (niisome) Barua ya mwana ndani eeh (niisome) Barua jama bahaba eeh (niisome) Naitaka barua yangu (niisome) Niisome barua yangu (niisome) Barua jama bahaba (niisome) Mahaba jama ya muhiba (niisome) Aah eehh Jamani kuna mama kuna (kuna) Kuna mama kuna (kuna) Kuna nazi kuna (kuna) Kuna mama kuna (kuna) Kuna kinyume nyume (kuna) Kuna kinyume nyume (kuna) Kuna kimbele mbele (kuna) Kuna kati kwa kati (kuna) Kuna kinyume nyume (kuna) Hasa ku ku kuku, kukuku ku ku kuku kuku Eeh ku, eeh ku, eeh ku, ku ku ku ku Jamani kampata sharubaro jama kampeleka nyumbani Muda wa kumpa mambo kamvalia miwani Kule hakupaona kafanya kwa pajani Jamani kuna sasa kuna (kuna) Kuna embu kuna (kuna) Kuna mama kuna (kuna) Kuna dada kuna (kuna) Ricardo momo kuna (kuna) Esma twende kuna (kuna) Ooh udangaji udangaji jama ni habari ya mujini Wenzako wapewa nyumba kwa magari ya injini Hivi we dangaji gani hadi leo walala chini Ngoja embu kwanza kuna (kuna) Jifunze kukuna (kuna) Kwa kushoto kuna (kuna) Kwa kulia kuna (kuna) Haya ku ku kuku, kukuku ku ku kuku kuku Eeeh ku, eeh ku, eeh ku, ku ku ku Aah eehh Aah, aah, aah, aah Ooh utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie (Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie) Ooh utaniweza wapi kuchepuka nimeanza zamani mie (Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie) Ooh utaniweza wapi madanga nimeanza kitambo mie (Utaniweza wapi utundu niemeanza zamani mie) Ooh utaniweza wapi mjini napajua kitambo mie (Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie) Hasa nataka dodoa (haya dodoa) Nataka katika (haya katika) Jama najojoa (haya jojoa) Hamu yanishika (haya dodoa) Ooh nataka dodoa (haya dodoa) Eeh nataka katika (haya katika) Jaama najojoa (haya jojoa) Hamu yanishika (haya dodoa) Mama nataka nilewe (Ngoja nilewe nikishaanguka pombe utakunywa wewe) Ooh jama nataka nilewe eh (Ngoja nilewe nikishaanguka pombe utakunywa wewe) Aah hasa nataka dodoa (haya dodoa) Jamani nataka katika (haya katika) Aah jama najojoa (haya jojoa) Hamu yanishika (haya dodoa) Naataka dodoa (haya dodoa) Jama nakatika (haya katika) Ona najojoa (haya jojoa) Hamu yanishika (haya dodoa) Pambee eeh Eeeh huo mnazi (unakatika) Mnazi (unakatika) Jamani mnazi (unakatika) Ooh, mmazi (unakatika) Ukitaka kukatika hukatika Kati kati kati kati Kaa