Moyo wangu Moyo wangu mama eee Moyo wangu mimi umeniponza mama Moyo wangu Moyo wangu mama eee Moyo wangu mimi umeniponza mama Upole wangu simanzi eeehee Kwa kukupenda maradhi eeehee Lakini kupendwaga mi naye Bahati huaga sina Jichoni kwangu kibanzi eeehee Tena nampenda kamanzi Licha ya kumthamini kama shilingi Tatizo hata raha sina Ufinyu wa mboni zangu Unatazama mengi aliyonipa mateso Tena hata kupenda sina raha Ona nakonda kwa mawazo Masikini penzi langu Gina Nilishakata na kauli roho inatoka kesho Kutwa nzima mara eee mara iii Hata najuta kupenda Moyo wangu Moyo wangu mama eee Moyo wangu mimi umeniponza mama Moyo wangu Moyo wangu mama eee Moyo wangu mimi umeniponza mama Mmmmhh tena Kutwa kucha mara ooohhh Huwezi kosa maneno Ili mradi tu tara tantalila Mmmh sina raha Wala sina tena mipango Kutwa nzima na mawazo Gina Mmhhh aaaaaah ooh sina raha, oo mama Tamu ya wali ni nazi eee Raha ya supu maandazi eee Raha yangu mi kupendwa tu naye Lakini nyota sinaaa Na napata na radhi eee, nawakufuru wazazi eee Kwa kung'ang'Ana mi kutaka kuwa naye Lakini bahati sinaaa Masikini roho ingalikuwa ni nguo ningempa avae Japo akipita wamsifie ila lakini ni kikwazo Masikini penzi langu Gina Nilishakata na kauli roho inatoka Kesho kutwa nzima mara eee mara iii Hata najuta kupendaa Moyo wangu Moyo wangu mama eee Moyo wangu mimi umeniponza mama Moyo wangu Moyo wangu mama eee Moyo wangu mimi umeniponza mama