Mi niliambiwa mapenzi ni kama bahari Ukishazama ndo basi umepotea Kumbe mwenzangu alikuwa anatamani Badala ya kuzama mi kwangu akaelea Akawa ananidanganya Nikiwa nadhani ananipenda sana Mikwanja nikamwaga mama Japo sio kivile ila hakuongea mana Akawa ananidanganya Nikiwa nadhani ananipenda sana Mbona mifedha nikamwaga mama Japo sio kivile ila hakuongea mana Wakaja wajinga wakamchukua Waka-muhongahonga mwisho wakamnunua Wajinga wakamchukua Waka-muhongahonga mwisho wakamnunua Ay, ay, ay, ay, ah Usinione nalia usinione nalia Mwenzenu nalia na mengi Usinone nalia nalia sababu ya mapenzi Mwenzenu nalia nalia nalia na mengi Uuh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi Najua alimaanisha kuwa simfai Ila lakini angesema Kuliko alichofanya me akantoa nishai Akanimeza akanitema Nyie mapenzi yanauma vibaya vibaya vibaya Mmh mapenzi yanauma vibaya vibaya vibaya Ile gafra safari ndio inanifanya na usingizi sipati Huwa nakumbuka mbali Hasa nikisikia harufu yake ya marashi Mi kwa uchungu nilivyoumia aah Nikaandika hili song la mwondoko nalia Na voko nikaingiza kwa hisia na imani Ipo siku nyimbo itamfikia Mi kwa uchungu nilivyoumia mie Nikaandika song la mwondoko nalia Na voko nikaingiza kwa hisia na imani Ipo siku nyimbo itamfikia aah aah ah Yeah Usinione nalia usinione nalia Mwenzenu nalia na mengi Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi Mwenzenu nalia nalia nalia na mengi Ooh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi Usione nakosa raha mama nalalama kwako mara kadhaa We ni msaada kwenye tuta so ukichomoka balaa Sijiwezi kwangu giza naweza kimbiza na hii taa Na hilo unajua inavyoumiza ushashuhudia mara kadhaa Wezi wakung'ang'anie ninung'unike nilie Njia yetu moja niache nipite si ukasimulie Ya kinyamwezi na swaga zako juu Na miguu napata picha kitandani kungfu Uko juu ukipita lazima wasome namba We ndo kibri fimbo kiboko ya midomo mamba Huu ndo mfano hata unajua neno pamba si Kwa kitambo ntakulinda kama mkinga mwenye shamba Mikogo kila leo ntajigamba Kisela piga teke inauma Usiombe map